Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Tukakubaliana kutokukubaliana, kama hivi yani
Muda ni jibu zuri, ngoja tusubiri tuone
Muda ni jibu zuri, ngoja tusubiri tuone
Most of the cards appears to be playing in ManUtd's favor.Chelsea lost by 3 goals to Sheffield .Win on Monday and we overtake Chelsea by a point, who still have to travel to Anfield and also face Wolves.
Leicester still have to play Sheffield United.
This result is HUGE for #mufc.![]()
Ndio maana huwa sipendi mambo ya kwenye mitandao.Lembu haya maandishi huwa hayafutiki![]()
definitelyChelsea wameingia cha kike..Kazi kwetu sasa
Tusipomaliza nafasi ya tatu utakuwa ni udhulumati kabisa..We are by far the best team kuzishinda Leicester na Chelsea
GGMU
Huyu jamaa alikuwa anawadanganya wenzake eti, wanashinda gemu zote, isipokuwa ya Liver.Lembu haya maandishi huwa hayafutiki![]()
Kitu tusichojua mashabiki wa Chelse ni kuwa mbali na kuwa Man U inajikongoja kwa kuwa ni timu ya mbovu lakini Chelsea ni mbovu zaidi maana Chelsea ishakutana na kipigo kwa Man U mara 4 mfululizo, pia Chelsea ilishaiacha Man U zaidi ya pointi 10 nyuma, zimepunguaje hadi sasa kubakiwa na point 2 tu?Chelsea wameingia cha kike..Kazi kwetu sasa
Tusipomaliza nafasi ya tatu utakuwa ni udhulumati kabisa..We are by far the best team kuzishinda Leicester na Chelsea
GGMU
Picha la kutisha View attachment 1504061
Man United sio timu mbovu kwa sasa..Tokea January hatukamatiki..Your have to put some respect manKitu tusichojua mashabiki wa Chelse ni kuwa mbali na kuwa Man U inajikongoja kwa kuwa ni timu ya mbovu lakini Chelsea ni mbovu zaidi maana Chelsea ishakutana na kipigo kwa Man U mara 4 mfululizo, pia Chelsea ilishaiacha Man U zaidi ya pointi 10 nyuma, zimepunguaje hadi sasa kubakiwa na point 2 tu?
Mkuu sio kwa hayo tu wafanya biashara za mitandaoni, nk wanatumia Man Utd Session kuingiza kipato. Mkuu atakaye fungua youtube channel itakayokuwana video xza mau utd mechi zake za wakati wote ni fursa nzur sana. .Unapoongelea man u basi unangelea tm yny presha kubwa kuliko tm zote duniani kwasababu ndiyo tm yny mashabiki wengi zaidi duniani.
Kwanza;kufurahia timu ikifanya vizuri sio kosa•••••MANCHESTER UNITED Inavyojadiliwa kwa sasa unaweza kusema
imebeba
EPL
SERIA A
LA LIGA
UEFA
COPA AMERICA
kumbe tunaomba Leicester na chelsea wapoteze game zote zilizobaki angarau tupate kanafasi ka kushiriki UEFA
ila yote kwa yote Manchester united ni kubwa kuliko FOOTBALL
ndio maaana hata chelsea wamesahau kua kipa wao karuhusu magoli mangapi hadi sasa ila wanajua asisst na magoli ya BRUNO na GREENWOOD
MANCHESTER UTD ni kubwa jamani




