ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,636
Leicester anaweza poteza kwa spurs na asernal...pia tutakutananae.Wakuu kuna kutoboa hapa kweli? Au ndio mtaenda kupitia mgongo wa Man City ban
[emoji419]Leicester City: 58 pts
[emoji3575]Arsenal
[emoji3575]Bournemouth
[emoji536]Sheffield United
[emoji3575]Tottenham
[emoji536]Man United
[emoji419]Chelsea: 57 pts
[emoji3575]Crystal Palace
[emoji3575]Sheffield United
[emoji536]Norwich City
[emoji3575]Liverpool
[emoji536]Wolves
[emoji419]Man United: 55 pts
[emoji3575]Aston Villa
[emoji536]Southampton
[emoji3575]Crystal Palace
[emoji536]West Ham
[emoji3575]Leicester City
miaka 10 iliopita nakumbuka tulikuwa na kundi kubwa sana la wachezaji vijana waliokuwa wanaleta matumaini ya kuja kuleta mapinduzi makubwa kwenye kikosi cha kwanza kama vile (davide petrucci, lingard, zoran tosic, ryan tunnicliffe, ravel morrison, danny drinkwater, rodrigo posebon, ben amos, michael keane na will keane, paul pogba, danny simpson, cathcart, danny welbeck, jonny evans na mdogo wake corry evans) na baadhi yao waliwahi kujishindia tuzo za uchezaji bora wa vijana kwa ngazi ya klabu na hata kitaifa.
bahati mbaya sana kundi kubwa la vijana hao walishindwa kuvihamisha viwango vyao kwenye timu kubwa kadri walivyokuwa wanapewa nafasi jambo lililopelekea baadhi yao kuuzwa na wengine kutolewa kwa mkopo wa muda mrefu (japokuwa si jambo baya) na hata wale waliofanikiwa kuingia kwenye kikosi cha kwanza hawakuwa na muelekeo ulio bora (danny welbeck, tom cleverley, danny gibson) wote hao hawakuwa na good performance iliodumu kwa muda mrefu ukilinganisha na graduate wa class 92,
Na wengineo mfano wa paul pogba, drinkwater walikwenda kuanzisha maisha mapya kwenye vilabu vyengine kimafanikio zaidi
ina maana hata huu uwekezaji wa soka la vijana hauna utofauti na mchezo wa kamari ( mara nyingi umdhaniaye ndiye kumbe siye ), tusisahau hata class of 92 walikuwepo vijana wenye vipaji lakini walishindwa kufanikiwa kisoka ndani ya klabu huku tukishuhudia wachezaji wengineo mfano (nicky butt, paul scholes, phil neville) wakiwa na careers nzuri sana kwenye ulimwengu wa soka na wengineo mfano robbie savage alikwenda kutengeneza maisha mapya
======================================
baada ya takribani miaka 10 hali hii ya kuwa na kundi kubwa sana la vijana tunaotamani kuwaona kwenye kikosi cha kwanza imejirudia tena (mengi, ramazani nasikia ameshaondoka, levitt, garner, laird, gomez naye anatimka, laird, mejbir, puigmal ,mensah, bernard),
kivyovyote inaonekana dhahiri kuna gape kubwa sana la kiushindani kati ya michuano ya vijana na ile michuano tulioizowea (premier league) ndio maana si ajabu kushuhudia vijana wengi wanaofanya vizuri huko chini kushindwa kuendana na mikiki ya kikosi cha kwanza pindi wanapopewa nafasi (mfano andreas perreira alikuwa ni mmoja kati ya wachezaji bora wa reserve lakini huku ukubwani amekuwa wa ovyo sana, muangalie tahit chong anavyoshindwa kuendana na kasi ya ligi kuu lakini akirudi team ya under 23 anafanya vizuri sana)
si vibaya kuweka matarajio makubwa kwa mchezaji fulani kwa kuangalia zaidi ubora wake kupitia soka la vijana hususani pale tu unapokuwa na benchi la ufundi linalojua kuishi na young players, na jambo zuri zaidi kwa sasa klabu ipo chini ya mikono ya mwanadamu aliyelelewa na Fergie (muumini wa kuwapa nafasi vijana kutoka moyoni mwake), uwepo wake klabuni, his vision kuhusiana na kuwapa nafasi vijana wenye DNA za man utd kunazidi kuwapa matumaini vijana mfano wa huyo mengi, levitt, garner, laird, mejbir ya kwamba siku chache zijazo watapata nafasi ya kuingia kikosi cha kwanza kama ilivyo kwa greenwood, chong, scott mctominay na brandon williams
nadhani hii ishu ya kuimpelements young players ni suala la kusubiri uamuzi wa benchi la ufundi likiongozwa na Solskjaer mwenyewe , Mike Phelan, Michael Carrick, Kieran McKenna, goalkeeping coach Richard Hartis, under-23s manager Neil Wood, under-18s manager Neil Ryan, na nicky Butt ambaye ni head of first-team development.
wao ndio wenye uamuzi wa mwisho na wao ndio wenye ufahamu mkubwa juu ya mwenendo wa mchezaji fulani kiukuaji.
naamini Teden mengi atakuwa na nafasi kubwa sana msimu ujao endapo klabu itakapofikia uamuzi wa kumuuza chris smalling, jones, na rojo.
unajua kwa sasa backup pekee ya uhakika tulionayo kikosini ni eric bailly, yule bwana mdogo Tuanzebe inasemekana ni majeruhi mpaka September.
kwenye ile mechi ya astana nilivutiwa zaidi na Dylan Levitt, alipiga complete pass 100
===================================
SteveMollel mbona umetukaushia kutupa story za movies kwenye jukwaa letuSio muda huna, sema hizo stats huna! Hazipo na hazitakuja kuwepo so kuliko kutafuta kitu ambacho hakipo kheri tu ufur hizo soksi.
Alafu mzee baba na ngao ya hisani kabisa you keep bothering kuwa ni kombe ambayo mchezaji kwa ngazi ya klabu anayawazia kuwa ni accomplishment? [emoji23][emoji23]
Get your facts together. Give your sparks a little time to make fire. Acheni nonsense hypes.
Nipe muda kidogo, mkuu. Ndani ya wiki hii mambo yatakuwa poa.SteveMollel mbona umetukaushia kutupa story za movies kwenye jukwaa letu
Leicester ana fixture ngumu sana, atatupisha pale juu lazima, pia tuna game nae mkononiWakuu kuna kutoboa hapa kweli? Au ndio mtaenda kupitia mgongo wa Man City ban
[emoji419]Leicester City: 58 pts
[emoji3575]Arsenal
[emoji3575]Bournemouth
[emoji536]Sheffield United
[emoji3575]Tottenham
[emoji536]Man United
[emoji419]Chelsea: 57 pts
[emoji3575]Crystal Palace
[emoji3575]Sheffield United
[emoji536]Norwich City
[emoji3575]Liverpool
[emoji536]Wolves
[emoji419]Man United: 55 pts
[emoji3575]Aston Villa
[emoji536]Southampton
[emoji3575]Crystal Palace
[emoji536]West Ham
[emoji3575]Leicester City
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja uone hawa wanaosifiwa humu ligi ikigeuka upya.Pre season na mwishoni mwa ligi Manchester United utawapenda .
Ngoja ligi ianze upya
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hiyo Europ League si ndio mpaka mshindeLeicester city hawezi maliza ndani ya Top 4, anakwenda na maji
lakn pia tuna Europa League, iko mkononi mwetu
The problem is mnapigia hesabu wengine kupoteza. Je nyie mtashinda game zote wakati hao wengine wanapoteza? Huu ni mpiraLeicester anaweza poteza kwa spurs na asernal...pia tutakutananae.
Naiona kama uchochoro wetu
Inaonekana hesabu za probability zilikutesa sana kijana.The problem is mnapigia hesabu wengine kupoteza. Je nyie mtashinda game zote wakati hao wengine wanapoteza? Huu ni mpira
Mkuu sawa. Ngoja tusubiriInaonekana hesabu za probability zilikutesa sana kijana.
Huhitaji kuwa na elimu ya juu kuona kwamba leicester ana ratiba ngumu sana ukilinganisha na sisi ofcourse anything can happen but ni ngumu kuamini atachukua 3 points kwa utd,asernal na spurs.
Manchester City (home and away)Manchesta bhana, kubalini zamanzenu zimepita. Mnashinda dhidi za timu bottom half mnaona mmerudi...
Manchesta bhana, kubalini zamanzenu zimepita. Mnashinda dhidi za timu bottom half mnaona mmerudi...
Sisi tunapigania nafasi ya tatu nyie endeleenii kubaki hapo mlipo sisi hatuwezi kukaa uswahilini.Wakuu kuna kutoboa hapa kweli? Au ndio mtaenda kupitia mgongo wa Man City ban
[emoji419]Leicester City: 58 pts
[emoji3575]Arsenal
[emoji3575]Bournemouth
[emoji536]Sheffield United
[emoji3575]Tottenham
[emoji536]Man United
[emoji419]Chelsea: 57 pts
[emoji3575]Crystal Palace
[emoji3575]Sheffield United
[emoji536]Norwich City
[emoji3575]Liverpool
[emoji536]Wolves
[emoji419]Man United: 55 pts
[emoji3575]Aston Villa
[emoji536]Southampton
[emoji3575]Crystal Palace
[emoji536]West Ham
[emoji3575]Leicester City
Tulimpiga Chelsea 3 times tukampiga mancity 3 times tukampiga tottenham once, tukampiga Leceister 1 once. are they in the bottom half ?Manchesta bhana, kubalini zamanzenu zimepita. Mnashinda dhidi za timu bottom half mnaona mmerudi...
Msimu uliopita mwishoni mwa Ligi, walipoteza mechi karibia zote.Pre season na mwishoni mwa ligi Manchester United utawapenda .
Ngoja ligi ianze upya
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app