
★
Hivi Phil Jones huwa anapatia wapi majeraha ?
Kucheza huwa hachezi majeraha huwa anapatia wapi ?
Naona hiyo nafasi inakufurahisha kwelikweli.
pia kama mpira utawaelemea ni ruksa ,kama wadogo zetu wote pamoja wawe nyuma etu i mean nafasi ya 3 waiache wachukue 4 na 5
★
Leo Leicester nao wamefufuka
Yani nyie jamaa kwa mihemko banaBruno, Bruno, Bruno
2 assists, 1 goal
Best mid in PL (De Bruyne)

keshakuwa best in EPL sasa ... ebu cool downWe jamaa Arsenal walikukosea nini?
Dogo yupo vizuri, referees inabidi waanze kumlinda asigongwegongwe miguu na kupata majeraha. Alafu hana mbwembweHuyu Greenwood ananitisha kwa kweli goli anazopiga sio mchezo.
Huyu Greenwood ananitisha kwa kweli goli anazopiga sio mchezo.
Huyu dogo ni asset kubwa. Muuaji aliyetulia.Mason Greenwood is the first teenager to score 15 goals in a single season for Man Utd since Wayne Rooney (17) in 2004/05.
Acha kumfananisha Greenwood na mambo ya kijingadaaah mamamamaakeee no homo ila Greenwood mtamu kuliko demu wanguuu![]()
nimejikuta naikumbuka nukuu yako uliokuwa ukipenda kuitumia mwanzoni mwa mwezi February....Acha kumfananisha Greenwood na mambo ya kijinga