Huyo kazi yake ni kuwa keep busy team doctors.Hivi Phil Jones huwa anapatia wapi majeraha ?
Kucheza huwa hachezi majeraha huwa anapatia wapi ?
Hakuna beki bora hapo, ni beki ghariBeki bora kabisa apigwa tobo na kufungwa
poleni sana
Kuna yule jamaa hampendi Martial ameumia kichizi.Goli la Martial tunaombea mkopo kabisa
ARV
Mkuu nime mtag hapoKuna yule jamaa hampendi Martial ameumia kichizi.
Leo kijana inabidi aondoke na mpira tena chap chap.
Pale mbele hakuna wa kumuweka benchi GreenWood mkuu, tutaandamana mpaka CarringtonNaona Daniel James akinyang'anywa namba