★
JidanganyeView attachment 1493287
★
July 18/19 tunavunja nyumbu shingo.
tuombe iwe ni mbinu ya kufanya makubaliano ya kibiashara kati ya pande mbili, pengine dortmund watatuonea huruma na kutuuzia under 70 million poundsCorona's effects View attachment 1493360
Manchester United boss Ole Gunnar Solskjaer has confirmed that highly-rated youngster Angel Gomes is set to leave the club when his contract expires on Tuesday.Yale yale ya Bayern kumtaka Sane' kwa hela isiyozidi £36mCorona's effects View attachment 1493360
Yale yale ya Bayern kumtaka Sane' kwa hela isiyozidi £36m
Sane's best position ni kushoto lakini au kulia pia yupo vizuri??Bayern pia ana take advantage ya mkataba wa Sane kuisha msimu ujao, anataka amlalie City
Halafu nimesikia Yorke anamshauri OGS hana haja ya kuangalia mbali, aangalie jirani tu pale kupata winger kwa jina la Sane
Sane's best position ni kushoto lakini au kulia pia yupo vizuri??
Sema huyu dogo anaitaka Bayern,atakuja kuondoka bure sasa 2021 kama City anakaza
Kusema kweli hata mimi sikubaliani na united kulipa 100 pounds kwa mchezaji mmoja tu wakati tunaweza kutumia hiyo kupata wachezaji wawili wakatupatia tunachokitaka kutoka kwa Sancho.Corona's effects View attachment 1493360
Break it down bossKusema kweli hata mimi sikubaliani na united kulipa 100 pounds kwa mchezaji mmoja tu wakati tunaweza kutumia hiyo kupata wachezaji wawili wakatupatia tunachokitaka kutoka kwa Sancho.
1 Jack Grealish anaweza kucheza kulia, kushoto na kama CAMBreak it down boss
Wachezaji gani tunaweza kuwachukua tukiachana na Sancho?
umeniwahiBreak it down boss
Wachezaji gani tunaweza kuwachukua tukiachana na Sancho?
1 Jack Grealish anaweza kucheza kulia, kushoto na kama CAM
Anafiti kucheza 4 3 3, 4 2 3 1, 4 4 2 na 3 4 2 1
2 Raul Jimenez kuimarisha safu ya ushambuliaji kumpa pressure Martial
Anaweza kucheza vizuri akitokea kulia, anacheza vizuri central striker.
anafit vizuri kwenye mfumo mzuri wa 3 4 3, 4 4 2, 4 2 3 1 na huyu ni proven striker kwenye epl.
3 Diogo Dalot anaweza kuwa converted kucheza right wing akaweza kufanya tunachokitaka.
Kimsingi alternative za 100 pounds sokoni za Sancho ni nyingi sana timu yetu inahitaji maeneo mengine ya kuimarisha tofauti na right wing tu.
I got it right..Matchaday na ni Vs Brighton..Kikosi naimani kitakuwa hivi;
DeGea
AWB Lindelof Maguire Shaw
Matic Pogba
Greenwood Fernandes Rashford
Martial
GGMU

