Naomba clip ya goli la manson
Naomba clip ya goli la manson
★
Habari yenu mashetani
Tukutane wemblay
★Napenda kutanguliza Pole kwa kitakacho wapata★
Wa man u ni naniKuna hat-trick ya Bruno leo
Hili holi ndiyo linakumbusha MUFC style. Winger zinakimbiza pembeni na kutoa cross za pasi ya mwisho. Hii style OGS haitumii sana. Nafikiri ni kutokana na kukosa winger zinazokimbia kama Nani, Valencia, Beckham au Ronaldo.3rd goal. Bruno FernandezView attachment 1493889
wemblay = WembleyHabari yenu mashetani
Tukutane wemblay