permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,328
- 15,036
Mourinho siyo kama Ole anayehitaji kujengat timu kwa miaka kumi, Mounrinho ni kocha wa mtoano, mpe wachezaji anaowahitaji katika mfumo wake, misimu miwili ikipita bila kombe itakuwa ameshindwa kazi, na akichukua makombe huondoka piaOld trafford walikuwepo mbona tuliwapakata..Mourinho hapo Spurs Levy atamtimua kama mbwa koko ni swala la muda tu
Bora ungemtaja huyo huyo Moura lkn co chizi Dele Ali, ni type ya lingard yule, hana lolote he's just an overated player.Dele na Lucas Moura
Bora ungemtaja huyo huyo Moura lkn co chizi Dele Ali, ni type ya lingard yule, hana lolote he's just an overated player.
Haha sasa hizi hoja ndiyo majibu ya kwanini ameshindwa kumfunga OGS au ni kujibaraguza tu.Mourinho siyo kama Ole anayehitaji kujengat timu kwa miaka kumi, Mounrinho ni kocha wa mtoano, mpe wachezaji anaowahitaji katika mfumo wake, misimu miwili ikipita bila kombe itakuwa ameshindwa kazi, na akichukua makombe huondoka pia
Wote hao currently wamekuwa squad player tu.Kuna siku huwa anakiwasha hatari, wakati wa Mourinho Lingard alicheza soka moja matata sana, sijui ni nini kimemkumba kwa sasa. Hata ile dancing style yake nadhani imesahaulika.
Siyo kweli, msikilize Mourinho alichokisema baada ya gameWote hao currently wamekuwa squad player tu.
Dele Alli msimu wa pili sasa hana consistency appearance kwenye kikosi.
Lucas Moura huwa anacheza tu pale anapokosekana Son au Harry Kane na sasa kaja Bergwijn.
Kimsingi tulicheza na Spurs iliyokamilika kwa kila kitu na tulichokifanya ni kuwawafanya waonekane underdogs..
Itakuwa ajabu au sioSheffield wamepoteana itakuwa ajabu sana kama hatutawafunga
Ni mchezaji wa daraja la Aston Villa, Brighton au West Bromwich, but co kwa tm km utd, huyo jamaa hata wolves hachezi believe me.Kuna siku huwa anakiwasha hatari, wakati wa Mourinho Lingard alicheza soka moja matata sana, sijui ni nini kimemkumba kwa sasa. Hata ile dancing style yake nadhani imesahaulika.
Nafasi gani utunziwe ...sisi tunakula kila kichwa..Naona Chelsea mmefarijika sana kuona tumedraw ili muendelee kututunzia hiyo nafasi yetu hapo juu
Subir week ijayo city awaingilie kinyumeUbao una soma ni mbili kwa moja..
CFC
Tulia ivyo ivyo ..city tunampakata vizuri tu.Subir week ijayo city awaingilie kinyume
Idk why Ole anaacha kumtumia Romero.De Gea is declining slowlyView attachment 1487203
Mimi naona hakuna kazi ngumu kama kum-drop 1st choice keeper wako wa muda mrefu..Lakini maamuzi magumu sometimes inabidi yafanyikeIdk why Ole anaacha kumtumia Romero.