permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,328
- 15,036
Mkuu vipi game ishaiva?Lampard Kamfunga 2 times.
But Bado Game mbichi
Mkuu vipi game ishaiva?Lampard Kamfunga 2 times.
But Bado Game mbichi
Naona Chelsea mmefarijika sana kuona tumedraw ili muendelee kututunzia hiyo nafasi yetu hapo juuKauli kama hizi ukitoa korea kaskazini unanyongwa
Kila siku munachambua mpira apa utasema ni li timu flani ivi lenye uwezo wa kushinda ata tano kumbe kushinda draw...pumbavu!!
CFC![]()
Kwa De Gea nimekuelewa sana.✓Pogba ni most talented player we have..Hands down
✓Rashford na Martial walikuwa rusty today..Tunahitaji striker wazee
✓Pogba na Bruno wameonyesha wanaweza kucheza pamoja..Kazi sasa kwa Ole kukamilisha hicho kiungo
✓James is useless..Greenwood ni lethal kushinda yeye..Tuanze kumwanzisha Mason
✓The form of David de Gea is dropping,and it's really worry me
✓Maguire ile blunder hakupaswa kuifanya..yeye ni kiongozi inabidi awe mfano na sio kucheza kama David Luiz
✓Spurs walikuwa hovyo tu na sisi pia tulikuwa rusty..3 month without football match may be a reason
Next Shiefield United
GGMU
Lampard vs Ole 4 loose vs 4 WinUtasubiri sana kwa kocha wenu mmbovu. Man u kuwa na ole mmeamua kupiga mark time.
Katika age ya Marcus Rashford nitafutie striker yeyote mwenye record kama za RashfordUnited inahitaji Lethal Strikers.
Rashford na Martial bado sana.
acha ushabiki maandazi we unadhani rashford ndio ametengeneza record. na jua nyie mashabiki mtatoa excuses kwasababu ya umri mdogo. unaweza ukalinganisha na akina halland na mbappe harafu wapo the same age..Katika age ya Marcus Rashford nitafutie striker yeyote mwenye record kama za Rashford
Jamaa una hasira km unaumwa ngoma!! Kapime inawezekana. Watu na furaha zao wewe unaona nongwaAcha kutulisha pumba wewe, man city alivyoshinda jana ana cheza mpira kila siku? Kubalini timu lenu ni takataka na Europa itawausu tu akina namuna!
CFC![]()
Whaaaaaaaat?Ahhh karibu tena tukutane Jumamosi no short single target
Dah...yaani hujalizika mpaka ukamtaja Luiz✓Pogba ni most talented player we have..Hands down
✓Rashford na Martial walikuwa rusty today..Tunahitaji striker wazee
✓Pogba na Bruno wameonyesha wanaweza kucheza pamoja..Kazi sasa kwa Ole kukamilisha hicho kiungo
✓James is useless..Greenwood ni lethal kushinda yeye..Tuanze kumwanzisha Mason
✓The form of David de Gea is dropping,and it's really worry me
✓Maguire ile blunder hakupaswa kuifanya..yeye ni kiongozi inabidi awe mfano na sio kucheza kama David Luiz
✓Spurs walikuwa hovyo tu na sisi pia tulikuwa rusty..3 month without football match may be a reason
Next Shiefield United
GGMU
Trio ya united..
Hata hivyo lile goli la penati lilifutwa hivyo matokeo yalikuwa Spurs 1 Man U 0
Mourinho alifanya homework yake vizuri sana dhidi ya Daniel James, Martial na Rashford.Maoni yangu.
Timu langu niliyoona jana naona bado tupo na morali ile ile kabla ya msimu kuwa suspended.
Ila kuna makosa kwenye defensive winga yaani ile mipira iliyokuwa inatua duh sipati picha Pogba angekuwa kiungo wa Tottenham na mipasi yake mirefu tungekufa nyingi tu.
McTomminay jamaa yuko vile vile, Pogba naona anakuja kudai nafasi yake, alikuwa anapanga anafokea mambo yakiwa hovyo akipata mpira anatoa kitu hatarishi, Fred yuko njema hadi nashindwa kujua kikos nani anaanza.
Daniel James apigwe bench Mason Greenwood awe anaanza. Dogo siku hizi anakuwa butu.
Mashabiki wa Arsenal walivyoshangilia kama vichaa goli la kwanza la Tottenham duh!
Nawavizia leo😂
All in all Bado tuko moto, Yaani koswa koswa tulizokuwa tunatoa kwa Tottenham zilinipa raha kuona mashabiki wa Chelsea tumbo joto.
Jamaa muhuni kinomaRoy Keane kamshukia vibaya mno de gea kuhusu lile goli anasema ilibidi hata baada ya mechi asipande basi la timu
Mkuu mpira wa wapi unaongelea...Rashford yuko pembeni na ameingia mara nyingi zaidi yake kwenye boksi kupambania mpira, Greenwood kaingia dakika za mwisho kapambana zaidi ya hilo mbulula..Halijui kuji-position pumbaf kabisa.Sasa atagusaje mpira kama viungo hawampi? au ulitaka awe kiungo?