Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

✓Pogba ni most talented player we have..Hands down

✓Rashford na Martial walikuwa rusty today..Tunahitaji striker wazee

✓Pogba na Bruno wameonyesha wanaweza kucheza pamoja..Kazi sasa kwa Ole kukamilisha hicho kiungo

✓James is useless..Greenwood ni lethal kushinda yeye..Tuanze kumwanzisha Mason

✓The form of David de Gea is dropping,and it's really worry me

✓Maguire ile blunder hakupaswa kuifanya..yeye ni kiongozi inabidi awe mfano na sio kucheza kama David Luiz

✓Spurs walikuwa hovyo tu na sisi pia tulikuwa rusty..3 month without football match may be a reason

Next Shiefield United

GGMU
Nimehuzunika sana kum-rate Rashford kwenye kundi moja na Martal(mvivu).
 
Maoni yangu.

Timu langu niliyoona jana naona bado tupo na morali ile ile kabla ya msimu kuwa suspended.

Ila kuna makosa kwenye defensive winga yaani ile mipira iliyokuwa inatua duh sipati picha Pogba angekuwa kiungo wa Tottenham na mipasi yake mirefu tungekufa nyingi tu.

McTomminay jamaa yuko vile vile, Pogba naona anakuja kudai nafasi yake, alikuwa anapanga anafokea mambo yakiwa hovyo akipata mpira anatoa kitu hatarishi, Fred yuko njema hadi nashindwa kujua kikos nani anaanza.

Daniel James apigwe bench Mason Greenwood awe anaanza. Dogo siku hizi anakuwa butu.


Mashabiki wa Arsenal walivyoshangilia kama vichaa goli la kwanza la Tottenham duh!

Nawavizia leo


All in all Bado tuko moto, Yaani koswa koswa tulizokuwa tunatoa kwa Tottenham zilinipa raha kuona mashabiki wa Chelsea tumbo joto.
Mkuu unajua sana, sio kama jamaa yule anaitwa #Darmian# anatulisha pumba.
 
Sasa Man City hujui kama alicheza na kibonde Spurs, au unazuga huelewi
Acha kutulisha pumba wewe, man city alivyoshinda jana ana cheza mpira kila siku? Kubalini timu lenu ni takataka na Europa itawausu tu akina namuna!

CFC
 
Arsenal hii hii iliyopigwa 6 - 0 na Man City kwa mechi mbili za hivi karibuni

Au unaongelea Arsenane iliyopigwa 6 kwa shoot on target 1 katika mechi za hivi karibuni walivyocheza na City

Sory,kumbe ulikuwa unaongelea Aseno
Sisi Aseno tumebakiza pointi sita tu tumshushe nyumbu
 
Arsenal hii hii iliyopigwa 6 - 0 na Man City kwa mechi mbili za hivi karibuni

Au unaongelea Arsenane iliyopigwa 6 kwa shoot on target 1 katika mechi za hivi karibuni walivyocheza na City

Sory,kumbe ulikuwa unaongelea Aseno
Si ilikuchomeka mwiba lakn
 
Mourinho alifanya homework yake vizuri sana dhidi ya Daniel James, Martial na Rashford.
Mourinho akili nyingi sana, alisema Man Utd ni hatari sana kwenye counter attack, hivyo aliwaachia wamiliki mpira hivyo wajenge mashambulizi kuanzia nyuma. Kwa hili alijua atawamudu vizuri na alifanikiwa. Aliwakosa Moura na Dele Alli, wangekuwepo pengine hali ingekuwa tofauti.
 
Back
Top Bottom