Tell herTuliza matackle kibanda umiza uone tunavomchakaza huyo Totte
Pogba ndio katoka kwenye injuries..Pogba on the bench..View attachment 1483632
Ni sahii kuanzia bench. Afu mechi kubwa km hii ni muhimu kuwa na viungo wakabaji wengi.Pogba ndio katoka kwenye injuries..
Tumia FEFA TV ipo playstore.Mwenye link wakuu
Ila naona Tottenham ndo wana rafu zaidi mkuu...balaa!!!Fred apunguze rafu
Mwache avizie tu. Tunamteneza vizuuuri kabisa huyuUnamsaka mtu ambaye anakuvizia akupige rungu la kichwa