Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Hii video imenikumbusha mbali sana, OGS super sub kaingia na golidah! hiyo penalty aliyopiga paul scholes alidhamiria kumtoa uhai kipa wa west ham?
tumetoka mbali sana....kutoka kubeba ubingwa kwa utofauti wa alama 18 hadi kukosa ubingwa kwa utofauti wa alama zaidi ya 25