Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Amen!Nawasalimu wote kwa jina la Bwana,hongereni kwa mijadala yote inayoifanya jukwaa liwe moto,muwe na wakati mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaa!!! Watuache na washindwe na kulegea wapige na hesabu huko kwao watakufa wangapi?
Ngoja ligi ianze tena sportslady wote tutarudi kwa kishindo,aanhh kipindi hiki kilikuwa kigumu this season nilijikuta uvumilivu unanishinda

Tunahusishwa nae pia nini!? Dogo ana uwezo Mkubwa wa kuchezesha timu. Hizi Paso zake ni maridadi sana
NimechekaKhaaa!!! Watuache na washindwe na kulegea wapige na hesabu huko kwao watakufa wangapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa maana kijiweni tosha sasaNgoja ligi ianze tena sportslady wote tutarudi kwa kishindo,aanhh kipindi hiki kilikuwa kigumu this season nilijikuta uvumilivu unanishinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukaamua kujificha ?Ngoja ligi ianze tena sportslady wote tutarudi kwa kishindo,aanhh kipindi hiki kilikuwa kigumu this season nilijikuta uvumilivu unanishinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure sema Trent anamzidi vitu vingi sana Bissaka hasa kwa modern fullbacks.Kwenye Attacking, TAA hakamatiki, ila tukitoa unafiki na ushabiki, defensive aisee Wan Bissaka hafai..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dogo hahusishwi na timu kubwa lakini uwezo wake ni cheap option ukimkosa James Madisson, Jack Grealish, Donny Van de Beek, Sergej Millinkovic Savic, Kai Harvetz etc.Tunahusishwa nae pia nini!? Dogo ana uwezo Mkubwa wa kuchezesha timu. Hizi Paso zake ni maridadi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sikujificha ila nilitulia tu kuna nyakati mambo yakiwa magumu inabidi uchill tu.
Kweli, karibu tena mkuuHapana sikujificha ila nilitulia tu kuna nyakati mambo yakiwa magumu inabidi uchill tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa na Herrera hawakutendewa haki. Walikuwa very loyal for the club!
Mi hasa Herrera dah nilimpenda sana namiss old good days!!Huyu jamaa na Herrera hawakutendewa haki. Walikuwa very loyal for the club!
Sent using Jamii Forums mobile app