Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Usisahau pia huyu dogo kamfanya Luke Shaw arudie makali yake.Huyu dogo alifanikiwa kumtia kapuni Adama Traore, game nyingine akamweka uvunguni Mohamed Salah.
Naamini msimu ujao atakuwa bora zaidi ya alichotuonyesha msimu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Brandon Williams akiendelea kukuzwa vizuri kwa kupewa aspect nyingi nyingi za kudefend basi tutakuwa na beki tatu kitasa kabisaHuyu dogo alifanikiwa kumtia kapuni Adama Traore, game nyingine akamweka uvunguni Mohamed Salah.
Naamini msimu ujao atakuwa bora zaidi ya alichotuonyesha msimu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shaw baada ya kutoka injury hii ya mwisho amekichafua sana
Tunakila sababu ya kuendelea kumwamini huyu dogo,Brandon Williams akiendelea kukuzwa vizuri kwa kupewa aspect nyingi nyingi za kudefend basi tutakuwa na beki tatu kitasa kabisa