Aisee hata mimi natamani sana tuboreshe huu upande wa kulia kuliko kitu chochote..Tukimsign Sancho tutakuwa tumefanya big moves..
Wewe jamaa haueleweki unachotaka juzi juzi hapa ulisema tunahitaji kusajili wachezaji calibre ya Neymar, Mbappe Harry Kane & Co na ukatanabaisha kuwa timu yetu imejaa watoto wengi leo tena unakuja na hoja ya kuwakubali watoto kina Chong,Gomez, Greenwood!!!Hata mm naona hivyo ukizingatia kuna martial,rashford,ighalo na greenwood pia kuna wakina angel gomes na chong hawawez kuendelea kusubir kule yatakuwa ya pogba ni bora kumuacha harry kane kwa sababu hao madogo toka waanze kucheza na ujio wa bruno ufungaj kidogo sio tatizo ni suala la mtu wa spid kama james

Kwasababu ni Muingereza.Sijawahi kumkubali Grealish ila kwa tetesi inaonekana ndiyo Favourite signing inayofautia pale United.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulianza kumfuatilia Grealish lini?Grealish ana tofauti ndogo sana na Hazard mkuu....ubora wa Hazard kila mmoja anaujua....Grealish ana 24 yrs, Pogba 27...kuna kila dalili Pogba hataki kusalia United tena....nadhani humjui vizuri Grealish ana uwezo wa kukaba pia.....anaweza kucheza kwenye mfumo wa viungo wa tatu akiwa upande wa kushoto nyuma ya Rashford....Rashford akiingia ndani kidogo...
Yawezekana akawa ni cheap option kuliko mchezaji mwingine yeyote tunayemtaka.
IkwaUlianza kumfuatilia Grealish lini?
Au wakati Samatta anaenda Aston Villa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujenga kikosi temporary anafaaYawezekana akawa ni cheap option kuliko mchezaji mwingine yeyote tunayemtaka.
Jamii Forums mobile app
Siyo mbaya sana ila ana tendency kuhold mpira halafu ananyang'anywa kizembe but his technical quality ni mzuriIkwa
Kujenga kikosi temporary anafaa
Ha ha ha ha ha umenchekesha sana ulivyohoji kama wameshakuwa watu wazima ha ha haWewe jamaa haueleweki unachotaka juzi juzi hapa ulisema tunahitaji kusajili wachezaji calibre ya Neymar, Mbappe Harry Kane & Co na ukatanabaisha kuwa timu yetu imejaa watoto wengi leo tena unakuja na hoja ya kuwakubali watoto kina Chong,Gomez, Greenwood!!!
Au wameshakuwa watu wazima tayari ???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes frastrations za maishaHa ha ha ha ha umenchekesha sana ulivyohoji kama wameshakuwa watu wazima ha ha ha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha kweli asee na hii covid 19 ndio kabisaaa!!Sometimes frastrations za maisha
Niliona mahali kuwa ligi inaweza kurudi June 8 bila mashabiki..
Corona mbona unatutesa hivi
tumemiss kusikia"Now it is Bruno Fernandes' taking a setpiece""Brunooo,,Antony Martial,Martiaaaaaaaal scored..unbeliavable Jim,What a goal!!
Hii ligi kwa epl ndo imeshaisha hiyoNaona Uholanzi wamefuta msimu kabisa,
Ufaransa Serikali imesema hadi Septemba ndio kuna uwezekano wa League 1 na League 2 kurejea hata mechi kuchezwa bila mashabiki
Uingereza vifo na maambukizi ndio vimeongezeka kwa kasi kubwa wiki hii
EPL kurudi bado ni mtihani wakuu
Watu wanaendelea kupigania uhai, hivyo soka haiwezi kupewa kipaumbele kwa sasa
Tuendelee kujiahadhari kwa mbinu za kisayansi dhidi ya Covid 19, lakini tusisahau kumuomba Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mim na uhakika mutaendelea kukipiga Europa tu ..ole hana adhi ya kushiriki michuano ya wanaume uefa ..Corona imekusaidia kuendelea kurandaranda JF.
Isingekuwa corona sasa hivi ungekuwa ulishajipiga ban ya msimu au ulishabadili ID nakujiita CHIKUTENTEMA kule chitchat na MMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Sancho unazani ni mjinga ake kupoteza muda wake muhimu..man u ni timu y lawama sana ..Naomba update, sancho news iliishia wapi?
Hapana hyo ya September means ni msimu mpya. Ya msimu huu wameifuta na suala la ligi imeishaje, bingwa yupo au hayupo, timu zitashuka na zingine kupanda n.k itajulikana mwezi Mei baada ya maafisa Wa chama chao cha soka kukaa kikaoNaona Uholanzi wamefuta msimu kabisa,
Ufaransa Serikali imesema hadi Septemba ndio kuna uwezekano wa League 1 na League 2 kurejea hata mechi kuchezwa bila mashabiki
Uingereza vifo na maambukizi ndio vimeongezeka kwa kasi kubwa wiki hii
EPL kurudi bado ni mtihani wakuu
Watu wanaendelea kupigania uhai, hivyo soka haiwezi kupewa kipaumbele kwa sasa
Tuendelee kujiahadhari kwa mbinu za kisayansi dhidi ya Covid 19, lakini tusisahau kumuomba Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app