Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijaelewa ni lini alishindwa kazi kutokana na mbinu za zamani, mbinu hizo hizo ndizo ziliwapa Europa mlionayo, na ndizo Atletico Madrid alitumia kumtoa Man City. Huwa nashindwa kuwaelewa, Ole kwa sasa analindwa kwa kigezo anajenga timu, Mou kaanzia msimu katikati ila wanataka awe amebeba vikombe.
Permanides na Mkwawe walihama na Mourinho, hivyo tegemea utetezi wa hali juu sana juu ya mafanikio ya Mourinho ambayo siyo siri ni makubwa sana katika soka.

Nafikiri kwa makocha wanaofundisha soka mpaka sasa Mourinho ndiyo mwalimu mwenye makombe mengi sana na mwenye record ya pekee sana katika club aliyofundisha.

Kibaya ni kwamba mbinu zake siyo relevant tena katika soka la hisabati kali kama sasa analazimika kuwa mkorofi badala ya kuwa mbunifu.

Tumpe Pole nyingi sana kwa kupitwa na wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakika mkuu! Jamaa habadiliki
 
Hivi ikitokea ligi ikafutwa,possibly watapandisha timu ila pendine hawatashusha timu na bingwa kumkabidhi kombe. Je kwenye timu za top four zitazopaswa kucheza UCL next season itakuwaje? Mana hapo wakisema waache kama msimamo ulivyo haitakuwa haki hasa kwetu ambao tunakabana na Chelsea pale nginja nginja. Au watafanyaje? Kuna mdau yeyote anayejua way forward ya hii?
Ata ligi ingeendelea bado uefa musingecheza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ikitokea ligi ikafutwa,possibly watapandisha timu ila pendine hawatashusha timu na bingwa kumkabidhi kombe. Je kwenye timu za top four zitazopaswa kucheza UCL next season itakuwaje? Mana hapo wakisema waache kama msimamo ulivyo haitakuwa haki hasa kwetu ambao tunakabana na Chelsea pale nginja nginja. Au watafanyaje? Kuna mdau yeyote anayejua way forward ya hii?
Hapo kwenye top 4 ndipo panafanye ligi isifutwe point za chelsea zinafikiwa na timu zote 4 kule kwenye kushuka daraja bado zile point utata had timu ya 14 mabadiliko yanaweza kutokea bila hivyo kombe angepewa liverpool
 
Kuanzia 2008-2011 utd alikuwa juu ya madrid na ndicho kipindi ambacho ronaldo anakomalia kwenda madrid
Na kwenye habari ya makombe tangu 2002 hadi 2009 man utd alikuwa amebeba mara moja na mshindi wa pili mara 2 wakati madrid alikuwa amebeba mara moja tu na hakucheza fainali yeyote hadi 2014.
Kimsingi Ronaldo aliyetengenezwa na man utd ya fergie ndiye alienda kufufua uhai wa madrid kwenye champions league.
Tulimuuzia adui silaha.
Point
 
Kwa vyovyote vile maamuzi yoyote yakufuta ligi yatakuwa na impact kubwa sana kwa timu zote.

Mathalani itakuwa very unfair kumnyima Liverpool ubingwa kwa stage aliyofikia.

Lakini itakuwa very unfair kwa timu za chini ambazo hata ile ta mwisho kabisa inaweza kujiokoa kushuka daraja kwa mechi zilizobaki.

Msimamo kwa timu za nafasi ya 5,67,8 napo zote hizo zinaweza kuingia top four hata top 3 ukifuta ligi na kutoa wawakilishi wa UEFA na EUROPA bado haimake sense.

Tuendelee kuomba hili janga liishe mapema ligi zirejee tu kwanza limetuharibia mishe mingi sana ya maana hapa town.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani sasa hivi hata kununua bando naona haina maana kabisa michongo yote ya kupiga pesa tuliozoea kila wikendi hakuna.
 
Hii corona imeua michongo mingi sana mjini hapa.

Hope by the end of April itakuwa imepungua sana maana nchi zilizopigwa sana rate ya vifo na new cases imekuwa ikishuka kwa kasi kidogo.

Tuombe lisichanganye sana huku Africa tutakuwa kwenye danger kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii corona imeua michongo mingi sana mjini hapa.

Hope by the end of April itakuwa imepungua sana maana nchi zilizopigwa sana rate ya vifo na new cases imekuwa ikishuka kwa kasi kidogo.

Tuombe lisichanganye sana huku Africa tutakuwa kwenye danger kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikitokea rate ikawa juu kama italia,Waafrika tutatengwa na dunia.
Mungu azidi kutusimamia tu
 
Hivi katika washambuliaji tunaohusishwa nao mbona sioni jina la Lataro Martinez likitajwa kwamba siyo mzuri ama?
Wachezaji aina ya Lautaro Martinez Man united tunao watatu kwanini tumhitaji Lautaro ?

Man united sasa inamhitaji central striker caliber ya Harry Kane, Timo Werner, Lewandowski, Edison Cavan au Mauro Icard.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachezaji aina ya Lautaro Martinez Man united tunao watatu kwanini tumhitaji Lautaro ?

Man united sasa inamhitaji central striker caliber ya Harry Kane, Timo Werner, Lewandowski, Edison Cavan au Mauro Icard.

Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani ishu ya usajili wa striker itategemea zaidi na jinsi Ole gunnar anavyomchukulia anthony martial 9 na kiwango chake cha utoaji wa huduma msimu huu (ikiwa bado anamuona ni mtu sahihi wa kuendelea kuwa chaguo la kwanza au kinyume chake).

halafu pia kuna ishu ya usajili wa kiungo pembeni ambapo kuna uwezekano mkubwa wa kujiingiza moja kwa moja kwenye harakati za kumsajili jadon sancho (hapa pia itategemea na muelekeo wa usajili wenyewe, either kufikia gharama za usajili wake au kinyume chake), ina maana kutatokezea taathira ya gharama za usajili..

ikiwa Ole atahitaji mshambuliaji atakayeweza kumletea ushindani mkubwa anthony martial tutalazimika kutumia gharama kubwa kwa dhumuni la kumtafuta mshambuliaji mwenye ubora zaidi ya martial na wenzake (hapa utakutana na washambuliaji mfano wa harry kane,haaland, moussa dembele)

ikiwa ole bado anamuona anthony martial ni mshambuliaji sahihi kwa mtazamo wangu naamini ni bora tumsajili Odsonne Edouard kutoka Celtic au Calvert lewin kutoka everton, bado ni vijana wadogo sana, takwimu zao za ufungaji msimu zinaridhisha.

raul jimenez ni mshambuliaji hodari kitakwimu, mpambanaji, ana uzoefu mkubwa wa premier league lakini tatizo litakuwa ni gharama zake za usajili zitakuwa ni kubwa halafu umri wake pia itakuwa ni kikwazo (ana miaka 29).

Timo werner sidhani kama tuna nguvu ya kiushawishi itakayoweza kumshinikiza asajili manchester united badala ya bayern munich, liverpool na borussia dortmund.

ubaya wa hizi team kubwa muda wote mchezaji aliyesajiliwa anajikuta kwenye hali ya presha kupanda
1586962314384.png
 
View attachment 1420003
Sounds interesting...

Kimsingi usajili wa striker kwetu unategemea sana na Ole anawarate vipi strikers wake.

Yawezekana anamuandaa Greenwood aje ampe majukumu zaidi kuliko msimu huu.

Yawezekana Ole ataamua kujiachia moja kwa moja kusajili striker huenda hataipa nafasi kubwa nafasi ya winger wa kulia, ila ninayeweza kusema wazi atakuja Man united kwa nafasi hiyo huenda akawa Jack Grealish.

Kwa mwelekeo wa timu yetu ni wazi dirisha la usajili kwetu litakuwa ni kuimarisha eneo la mbele zaidi kuliko maeneo mengine. hii itategemea na mambo mawili iwapo Pogba ataondoka tutahitaji kuongeza kiungo mmoja.

To be Frank kwa mahitaji ya muda mfupi siyo mbaya man United wakimsajili Raul Jimenez huku wakisubiri Greenwood akomae kwa kiwango cha Raul tutakuwa tumepiga hatua nzuri.

Tuendelee kuomba Corona iishe turudi katika maisha ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani naomba kuuliza hivi Douglas costa na Jadon Sancho hawachezi namba moja?
Kama wanacheza namba moja hawa Viongozi wetu watakuwa na matatizo sababu binafsi naona Douglas Costa ni mchezaji mzuri na uwezekano wa kumpata ni rahisi kuliko Jadon Sancho.
GGMU
 
Douglas Costa ni winger wa kushoto na hana madhara sana kama Jafon Sancho.

Heri utupe pesa zako kumnunua Julian Draxler au Grealish kuliko Douglas Costa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom