Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona wachina wanakomaa ighalo arudi

Sent using Jamii Forums mobile app
Klabu ya Shanghai Shenhua ya hapa China imetoa ofa ya kumuongezea mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wake Odion Ighalo (30) ambaye anacheza kwa mkopo Manchester United. Mkataba wa sasa ulikuwa unamalizika mwaka 2022, lakini Shanghai baada ya kuridhika na kiwango chake cha hivi karibuni, wanataka kuendelea kummiliki Mnigeria huyo hadi mwaka 2024, kwa malipo ya paundi 400,000 kwa wiki. Kwa upande wake Ighalo anachusubiri ni ofa itakayotolewa na Man United baada ya mkopo wake kumalizika mwezi Juni mwaka huu kwani imekuwa ni ndoto yake ya maisha kukipiga kwa mashetani hao wekundu wa Jiji la Manchester.
 
kwa huo mshahara naitema united maana miezi sita yanitosha kabisa pale trafford
 
Huyu jamaa atatufaa wadau?
Screenshot_2020-04-01-07-39-11-2061811090.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harry Kane.
Naona hafurahishwi na uwepo wa Mourinho Spurs ila hataki kuwa wazi na huenda anataka changamoto mpya kama kuna timu zitapambana kumnunua Kane basi Manchester United ina nafasi kubwa sana ya kumchukua Harry Kane.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo ni Levy mkuu anaweza kuweka fee yake kua pauni million 100, ila ukipeleka dau hilo anakupandishia mdogomdogo hadi ufurahi ikizingatiwa amebakisha muda mrefu sana kwenye mkataba wake.....Ila yote kwa yote ni mchezaji mzuri, United ukipata yeye pamoja na Sancho kwa combined fee ya atleast Euro million 250, huku ikirealease baadhi ya wachezaji mizigo kikosini, sioni sababu ya kutokugombania ubingwa msimu ujao!!
 
Harry Kane.
Naona hafurahishwi na uwepo wa Mourinho Spurs ila hataki kuwa wazi na huenda anataka changamoto mpya kama kuna timu zitapambana kumnunua Kane basi Manchester United ina nafasi kubwa sana ya kumchukua Harry Kane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Mimi nikishamfikiria Daniel Levy naona kabisa United haiwezi kumnunua Kane. Naamini hivyo 100%
 
Back
Top Bottom