Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba ni Baloteli aliyechangamka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona impact

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Alipocheza brandon william ndipo atacheza kiungo mwingine pogba na bruno kukaa bench ni ngumu au kuanzia bench matic na fred combination nzur sana scott ataanzia bench
 

Kwa timu inapoelekea pogba anatakiwa kucheza ili tujue endapo kama atataka kubaki wakat wakina matic na fred wanaanza kuelewana pogba anaumia hivyo hatukuweza kuona uchezaj wao wakiwa pomoja chini ya solskjaer tuone kwanza kisha tumseme binafsi sikutegemea kama matic na fred wanaweza kutengeneza muunganiko mzur baada ya kuumia scott sasa basi matic anapokuwepo uwanjani na fred

Na hapo scott aliumia matic kapona hivyo walipishana mech ya juz dhid ya city anaingia scott anatoka bruno timu ikawa nzur zaidi kiulinz kuna kitu kocha kaonesha nafikir sasa uelekeo unaanza kuonekana si mbaya scott akawa anaingia sub pamoja na wakina igalo acheze mahali pa martial hapo timu inakuwa ya utata zaidi


starts this season

clean sheets



Hizo ni rekod nzur sana ndio maana scott hakuweza kuanza mech ya city angevuluga kiungo tunapokuwa na scott sawa kana kaza ila kutunguliwa kunakuwepo huo ndo utofaut uliopo sasa kwa hiyo ni muhimu sana kwa pogba kucheza kama atabaki ili timu ijulikane
 
Kwahiyo Pogba ataenda kucheza kama wingback ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mifumo mkuu badala ya kutumia mawinga ama wingback inatumia midfield wa kulia na kushoto mfano ni kama alioutaja mdau huko juu 4-4-2 diamond ama ule tulioutumia na Everton 4-3-1-2

Sababu ya uhaba wa mawinga, majeruhi ya Rashford na Form ya James pogba akirudi naamini Ole atatumia mifumo inayo Accomodate midfielder wengi zaidi.
 

(4-3-1-2)
 
4 4 2 diamond kwa United bado ni mtihani

Diamond huwa haiitaji sana mawinga, na ili timu iwe na width compastion yake ni kuwa na ma full backs wenye tabia ya wing back yaani wazuri kwenye kulinda na kupandisha mashambulizi na kupiga krosi

Kwa United hatuna hao watu especially upande wa kulia kwa kuwa Ole hawezi kumuweka Bissaka benchi na kumchezesha Dalot.

Kwa upande wa kushoto ni hivyo hivyo, Williams ni mzuri sana kwenye kupandisha timu na kupiga krosi, lakini siamini kama Solskjaer yupo tayari kumuweka Shaw nje na kumuanzisha dogo, Shaw final balls zake ni very poor



Sent using Jamii Forums mobile app
 
So Bruno atacheza free role then Pogba atapewa limited operation space right ?.

Hii sawa possibly anaweza kuwa accommodated, but hapa ni pale Rashford anapokuwa hayupo.
(4-3-1-2)

De Gea

AWB, lindelof,Maguire, Shaw

Matic, Fred, Pogba

Fernandes

Martial, Rashford

Ila kwa matic ataanza scott atasubir bench uzoefu ni muhimu sana


Nafikir unapata ka picha kidogo hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na yoote yatakayozungumzwa lakini tunahitaji SQUAD DEPTH kwa maana waliomo ndani na walipo nje wasiwe na tofauti sn kwny kiwango ili hata akiumia mmoja inakuwa ni rahisi kuziba pengo lake..
Hata pogba akibaki bado tunahutaji midfield mwingine mzuri na striker mzuri na Winger(rw) ili competition iongezeke kwny club maana Competition ndo imefanya leo Hii Luke shaw anang'aa na Martial anajitahidi kupunguza uzembe alionao since ighalo alivyokuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi tunaopingana na Pogba tunapingana naye kwa attitude zake..Na kama unavyojua Pogba ana big Personality kwahiyo kuharibu dressing room ni sekunde tu

Angekuwa ni mtu anayejali na kuipenda hii timu yetu angefanya yafuatayo;

✓Angejitokeza kupinga kauli za kaka yake ambaye amekuwa akiongea na Media kuhusu mdogo wake kutaka kuondoka United

✓Angemkanya wakala wake roporopo maana yeye ndo bosi wake..Vijana wanapambana waingie Top Four wakala wake anaanza kuleta stori za kuwa mteja wake yupo kwenye timu isiyokuwa na structure ya kueleweka..Like serious??

✓Yupo tayari kuwaza kuhusu Kucheza Euro's kuliko kuipambania timu inayomlipa mpunga wa kutosha na kumpa maisha..Refer surgery aliyoifanya..kulikuwa kuna uwezekano wa kufanyika baada ya season kuisha

Pogba ni mchezaji mzuri mwenye talent kubwa lakini tunahitaji mengi zaidi kutoka kwake..I'm keen to see how we shall handle him when he will be fit..Ole inabidi aonyeshe maturity yakutosha na sio kumremba remba

Na kama nilivyosema jana"kwa sasa Pogba anatuhitaji sisi kuliko sisi tunavyomuhitaji"..so it is up to him kuonyesha kuwa anahitaji kubaki na kupambania timu..Otherwise sitojali akipigwa bei,maana tunaweza kuongeza wachezaji na tukaimarika zaidi bila yeye

Just an opinion
 
Na kawa linawaathiri wachezaji wenzake je??

Mfano,Waseme Pogba amezungukwa na wachezaji vilaza..so kisa Pogba anaperform basi itakuwa sawa kwa wao kuongea lolote tu wanalojisikia??
 
Upo sawa

Kwangu mimi United and Paul needs to separate for every part best interests

Kwangu mimi pande hizo zilifikia point of no return pale PP aliposema anahitaji new challenge summer iliyopita, pale Raiola aliposema hata Pele na Maradona wange flop wakichezea United, pale kaka zake zaidi ya mara moja walipoweka wazi kuwa PP ataondoka United.

Kuna uoumbavu mwingi sana uliofanywa na Pogba's camp katika kui undermine my Manchester United, that should never be tolerated.

Siku akiondoka nitakula pilau, walahi hata kama hiyo ratiba haikuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rooney mwenyewe aliwahi kuomba kuondoka baada ya kuona hamna usajili wa maana alitulia baada ya kumleta van persie kuna muda mchezaj nae anakuwa na malengo tusiangalie upande wetu tu ronaldo aliomba kuondoka kwa ajili ya madrid tena mara mbili kamamwambia babu simtetei pogba hapana kuna muda timu yetu hakukua na la maana
 
Valvede kijana wa kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…