leo mashabiki wa man utd mjiandae kufungwa, naonaga mara nyingi nyie mkishinda etihad na wao wakishinda old Trafford
Sent using Jamii Forums mobile app
Bruno alisajiliwa kupunguza hasira za mashabiki.Kila nikiangalia kiwango cha Bruno na jinsi Manchester walivyosuasua kumsajili japo walikuwa hawana upinzani toka timu zingine kubwa, naona pale Man U kuna shida sana na uongouongo mwingi
Nilipatia Sema nimekosea kidogo..Apo kwa Chelsea tunashinda 3
Apo kwa Man city ajakosea yuko sawa kabisa.
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
VIVA IGHALO
VIVA IGHALO
COMING FROM SHANGHAI
WE'RE ALL GONNA DIE
VIVA IGHALO
Leo city tunawachapa.Hawana chao msimu huu.Lazima tuwafunge.Bruno leo tena takuwa katika moto na Martial atakuwa fire.lGGM
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha kazingua...ila ngoja tuone...labda kuna kitu kakiona kwenye mazoezi.Martial atakuwa fire!!!! Oh my God, kama lini aliwahi kuwa fire. Msimu mzima kacheza karibia mechi zote hatuna chetu hapa leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kocha anachokitafuta atakipata...Mpambanaji Ighalo ndio mechi za kumuanzisha hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani mkuu mechi iliopita aliewafunga city ni nani? pale etihad ligi kuu.Martial atakuwa fire!!!! Oh my God, kama lini aliwahi kuwa fire. Msimu mzima kacheza karibia mechi zote hatuna chetu hapa leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli anaweza kuwa hajawa fire kama wengi wanavyodhani lakin kumbuka timu Yetu ni tiamaji sana kwa hiyo Martial anajitahidi kwa uwezo wake.Hakika leo atatusaidia.Martial atakuwa fire!!!! Oh my God, kama lini aliwahi kuwa fire. Msimu mzima kacheza karibia mechi zote hatuna chetu hapa leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamwekaje Pogba, halafu unamuacha nje BF
Huu ni ufisadi kama ufisadi mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani mkuu mechi iliopita aliewafunga city ni nani? pale etihad ligi kuu.