Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lingard naona siku hizi yuko serious na kazi hata hivyo kala madongo ya ubovu wake kutoka kwa mashabiki naamini sasa hivi anaiona Man U chungu, perreira kala kofi la Rooney fresh wajinga wajinga wakazwe hakuna kudekezwa.
 
Lingard naona siku hizi yuko serious na kazi hata hivyo kala madongo ya ubovu wake kutoka kwa mashabiki naamini sasa hivi anaiona Man U chungu, perreira kala kofi la Rooney fresh wajinga wajinga wakazwe hakuna kudekezwa.
Nimemuonea hadi huruma Lingard

Yule shabiki kamtukana sana aisee..
 
Unamaanisha, hata Chelsea naye ni mvimba macho?

Maana Chelsea tokea msimu huu uanze, tumecheza naye mara tatu, tumemfunga mara tatu, naye ametufunga mara sifuri.
Game alali mlotufunga ni ile ya kwanza tu ..izi zingine munabebwa bebwa ..

Natamani tukutane tena raund hii FA kile kipigo cha mbwa jiko tulichompa Liverpool tutaongeza Mara mbili apo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe ni mvimba macho?maana umepigwa kipigo cha mbwa koko game zote tatu????
Kabla ya kusema fikiri walau kidogo mdogo wangu......

Sent using Jamii Forums mobile app
uu msimu na mingine inayofuata kama mitatu ivi hutashiriki hata Europa. Utaishia nafasi kadhaa kama uliyopo saiv yani..

Uefa ni kwa ajili sisi wanaume angalia tunavyoenda mchakaza Bayern pale pale kwake..

Tutafanya tukio la kuisimamisha dunia kwa muda.

Trust me, Trust Lampard, Trust Chelsea

Sisi ndo mabingwa msimu uu wa uefa..

Uyu man u tunampangia FA lazima tulipize kisasi ..

Mikakati inaendelea kusukwa.

#CFC


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haeleweki kikosi kimepangwa kwa form ya sasa ama uwezo wa wachezaji.

1. Kama kimepangwa kwa uwezo wa wachezaji De gea ni mzuri kuliko Ederson
2. Kama kimepangwa kwa form ya karibuni ya wachezaji pogba hajacheza karibia msimu mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…