Katalama
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 855
- 1,481
Unamchukia AM9, then akiwa anafunga goli la ushindi/kusawazisha unajisahau unashangilia hadi koo linakukauka. Aiseee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app

Inakuaje watu mnafurahia mchezaji wenu aumie
Imagine hapo hapo kati Ighalo kapata shida, hata kama Martial ni mvivu lazima timu iwe na depth
Lazima timu iwe na options Mkuu, kuna mechi inahitaji mtu wa style ya Martial na sio Ighalo
Sent using Jamii Forums mobile app


Leo Babu Sir Alex ndani ya Carlington, mara ya mwisho kutembelea pale ilikua october last year
Nafikiri kaenda kuwasisitiza vijana kwamba dozi za 5 - 0 ziendelee kwasababu hakuna namna wapigwe tu
View attachment 1371751
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu mzee bado ana drive na umri huu??Leo Babu Sir Alex ndani ya Carlington, mara ya mwisho kutembelea pale ilikua october last year
Nafikiri kaenda kuwasisitiza vijana kwamba dozi za 5 - 0 ziendelee kwasababu hakuna namna wapigwe tu
View attachment 1371751
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mim kanishangaza ila nadhani hii ni kutokana na maisha bora (afya njema) pia na ubora wa miundombinu ya barabarahuyu mzee bado ana drive na umri huu??
Kutokana na afya njema ndio maana bado ana nguvu za kuweza kumudu kuendesha gariJamaa chombo chake huwa hakiachi duh.
Halafu katika age hiyo bado anaendesha gari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatupati!Kama tutapata point 3 kwa evertona basi nitaamini tumerudi kwenye ubora wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa dozi ya tano kwa wachezaji waliopungufu, tena Club bruggeLeo Babu Sir Alex ndani ya Carlington, mara ya mwisho kutembelea pale ilikua october last year
Nafikiri kaenda kuwasisitiza vijana kwamba dozi za 5 - 0 ziendelee kwasababu hakuna namna wapigwe tu
View attachment 1371751
Sent using Jamii Forums mobile app


Nyie mashabiki wa Mourinho nendeni spurs..Mourinho kajaa tele paleHatupati!
Nazungumza uhalisi, Ancelot hatumfungi pale g.park, tusubir mechi na kina lask huko!Nyie mashabiki wa Mourinho nendeni spurs..Mourinho kajaa tele pale
Tumemfunga Pep Etihad itakuwa huyo mzee Ancelot??Nazungumza uhalisi, Ancelot hatumfungi pale g.park, tusubir mechi na kina lask huko!
Hatupati!