Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Ndo kutoiheshimu badge ya Man U mkuu
he he he acha uchawi mkuuNaona Lampard kaamua kukopy mfumo wa Ole uliomfunga 3-4-2-1 mournho nae kamkopa Nuno wa wolves 3-5-2 natabiri droo au Chelsea kuoga.
Anyway sijafika kwenye Uchawi.


Naona Lampard kaamua kukopy mfumo wa Ole uliomfunga 3-4-2-1 mournho nae kamkopa Nuno wa wolves 3-5-2 natabiri droo au Chelsea kuoga.
Anyway sijafika kwenye Uchawi.
Kijana @ollachuga leo amefanikiwa kurudi Tanzania baada ya kukwama China
Sent using Cash Money Wings


Hahaha sio nashindwa kuonesha ukomavu mkuu ..ratiba zinabana tu ..tukishinda ivi ndo napata nafasi kidogo ya kuonekanaKaambukiza Kane, Son, Sissoko, Ssegnon Corona ndio hawapo.



Hahaha sio nashindwa kuonesha ukomavu mkuu ..ratiba zinabana tu ..tukishinda ivi ndo napata nafasi kidogo ya kuonekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Muondoe Kane wengine walikuwepo na akafa mbili bila nyumbani kwake unalingine?Kaambukiza Kane, Son, Sissoko, Ssegnon Corona ndio hawapo.
Muondoe Kane wengine walikuwepo na akafa mbili bila nyumbani kwake unalingine?
Sikilizeni nyie viazi mbatata juzi mumetufunga kimazabe munaona basi top four mutaipata ..nyie mukipambana sana mutaishia top six tu...
This is Chelsea ..yeyote atakayefata saivi ni kipondo tu..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Martial akae benchi??Kuna tatizo lolote Ole akiweka Odion Ighalo na Mason Greenwood mbele?
Labda iwe 442 diamond ama mfumo beki 3 nyuma na wingback. Ngumu kucheza striker 2 wasio na mchango mkubwa kwa aina ya wachezaji tulionao.Kuna tatizo lolote Ole akiweka Odion Ighalo na Mason Greenwood mbele?