Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,005
- 7,383
Professionals gani unaowazungumzia mkuu, umemkandia sana jamaa kwa kutoa mawazo yake ila hao professionals si wangesolve injury crisis ndani ya kikosi mbona wamefeli? Pia huyo chain ya decision making haijafuatwa hakuna timu itakayoruhusu majeruhi aliyefanyiwa surgery week 2 asafiri ovyo kama kawaida yangu pogba.....You have too much hate on Paul and Ole. Hadi muda mwingine unaandikaga hoja zisizo na msingi humu. Yaani wewe kila siku ni kumpinga Ole tu na kumsema Pogba.
Let me remind you that Manchester united is one of the top teams in the world of football and is run by professionals ambao hata kiuwezo wa kufikiria hufiki hata nusu coz ur clueless on how a big club like Manchester is being run.
Issue hadi unaona Paul anaenda kufanya personal recovery Dubai ujue kuna chain of decision making imefanywa na specialists wa afya yake so hizo propaganda zako za kila siku kumsema Paul hovyo uache respect him as he is still a united player till pale atakapoondoka.
Na pia learn to give Ole time bado project yake inaendelea be patient uache kumponda Ole kila siku wakati kwenye market hakuna kocha wa uhakila wa kuturudisha kwenye glory days.
Umesahau alikuwa anach za basketball hadi world of football wakamhoji ole mbona pogba mzima anacheza basket USA.....
Project ya Ole ni failure kwa asilimia 80 mpaka sahizi kwa saini alizofanya na ujinga wa kuuza striker sioni anapitupeleka, huoni Daniel James anastruggle now hii ni failure of tactics recognition kwa mchezaji yani Daniel hajui hata tunatumia tactics gani ndio maana anakimbia kimbia tu......
Ile anategemea personal brilliance ya mchezaji na sio uwezo wake wa tactics mbona tunashika namba 9 now kana project ingekuwa unafanya kazi bas angalau hata top 5 tungekuwepo.... Mkuu Mc cane tupo pamoja katika hili Ole ni failure na pogba ni failure anayejificha katika majeruhi wanavyobuy muda wa kumtafutia chaka lingine.....
Sent using Jamii Forums mobile app

