Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mwambie huyo mkuu liver katingwa na atletico Madrid na Tothenham kufungwa nasikia rb reipzig je hizo timu unaweza kufananisha na brugge is he mad

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona nimuache alivyo na anavyofikir mana kila mmoja ana mtazamo wake...ila kitu kinaonekana wazi kbs kwamba Ole ni kilaza!
 
Ole ni kocha bora aisee, kwenye mechi anakaa kwenye kiti Muda Wote halafu amekunja 4, huku wachezaji wake wanagawa dozi uwanjani. LINAOGOPESHA

Inawezakana Ole ni mzuri sana mazoezini, wachezaji wanaelewa vizuri na haraka mbinu zake, kwenye mechi ni kudeliver tuu.

Ole anaangushwa na wachezaji kuwa majeruhi, wachezaji wanaocheza chini ya kiwango na inaonekana ole sio mkali kwa wachezaji.

Kuna wachezaji wanafanya mambo ya kitoto sana, ole ajitahidi kuwa mkali kwa wachezaji.

Mpeni muda zaidi atawarudisha kwenye makali yenu.



Sent using Cash Money Wings
Unapoteza muda wako humu kutoa ushauri kwa timu iliyokufunga Mara 3 kwa Season moja kweli,Huu ujasiri umeupata wapi wewe Kijana.
 
Klop kafungwa juzi na Atletico na Mourinho kafungwa na Totenham tena nyumbani na wao hawafai?

Ugenini ulitaka matokeo ya aina gani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufungwa kwa Klopp kuna halalisha vipi kufungwa kwa Ole?

Klopp amechukua UCL msimu jana. Sahivi anaenda chukua EPL.

Ole hata top 6 hataingia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klopp msimu wake wa tano huu akiwa na Liverpool nayeye msimu wake wa kwanza na wa pili alistruggle kama Ole tu.

Second season akajipanga akamaliza wa nne trend ambayo hata Ole anaenda nayo mpaka sasa.

Hatuwezi kuwa na Fantastic results kwa timu tuliyonayo na ukizingatia pia priority za Mwalimu ni kuingia top four hivyo ni lazima afanye squad rotation ili regular starters wasichoke na kupata injuries.

Lakini pia squad rotation inafanya wachezaji ambao hawapati nafasi mara kwa mara kuwa na match fitness pindi tunapokuwa na ulazima wa kuwatumia.

Kwa matokeo ya jana sioni kama kuna shida sana kama ambavyo wengi tunataka kuonyesha hapa, timu nyingi kwenye home ground zinakuwa ngumu hivyo kupata sare na aina ya squad aliyoanzisha I don't see the problem with that.

Tumpe nafasi mwalimu then mwisho wa msimu tumpime kama ameweza kutimiza malengo ya timu.

Kwa squad tuliyonayo hata board yenyewe watakuwa walibuy time kuanza ujenzi wa timu upya that's why hata signing nyingi zinajikita katika kufanya blending ya timu kwa kuziba mapengo na kutengeneza squad mpya ya ushindani.

Tukimzungumzia Klopp mpaka sasa 90% ya kikosi anachokitumia ni signings za kwake why Ole tunamhukumu wakati hajatimiza mahitaji yake kikosini ?

Yawezekana kweli kuna mapungufu ya hapa na pale kikosini je yote lazima tumwangushie mzigo mwalimu ?

Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini baada ya Ole kukamilisha rebuild yake.
Kufungwa kwa Klopp kuna halalisha vipi kufungwa kwa Ole?

Klopp amechukua UCL msimu jana. Sahivi anaenda chukua EPL.

Ole hata top 6 hataingia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom