Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamani huku Alaska wamekata umeme tupeni matokeo ... ... .... ..... .. .
khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ronaldo nae kashaanza kuharibu.. All the best Man U!!!

BJ upo mi nilijua umewakimbia mashoga kumbe bado unawashadidia ... ..... .... .. Usijali tunakutakia mafanikio kwenye huu mtanange wewe tu . . .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Chacha mbona umemwacha Theo tena pale Emirates ... ..
 
Yaani Wacha umeshaanza kutuwangia mapema hivi?! basi unafurahi mwenyewe.....Mimi na man u mpaka damu damu.....ha ha!! ila game ya leo, tough one!!
Theo bado wangu, sijamtupa kabisa..
 
Last edited by a moderator:
Sijajua kwa nini Morinyo ananga first eleve kipa huyo! Nipazia tu langoni.
 
BJ upo mi nilijua umewakimbia mashoga kumbe bado unawashadidia ... ..... .... .. Usijali tunakutakia mafanikio kwenye huu mtanange wewe tu . . .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Chacha mbona umemwacha Theo tena pale Emirates ... ..

Humpty Dumpty una game yako inakusubiria kilaza wewe.
 
Hii game inadhihirisha kuwa Premier League ni ligi mbovu kuliko zote.
 
Sir-Bobby-Charlton_2900254.jpg
 
Back
Top Bottom