Sijajua kwa nini Morinyo ananga first eleve kipa huyo! Nipazia tu langoni.
haaaaaaa!Umepata Div 0
Kwanini!!!!!??????Hii game inadhihirisha kuwa Premier League ni ligi mbovu kuliko zote.
Man utd maji ya mustache...
Ngapi ngapi? Utawaona tu wakicheza Gunners maneno mengi kama pili pili manga. Matokeo Matokeo hamna, wote wanawaza mashoga wanawewesekaweweseka tu damn it! Fungie kamfunga Morinyo mara mbili tu wakati Morinyo kambangua mara sita .... ..... na wametoka sare mara sita chacha Fungie nasikia kapaki basi.