Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Refa kaonesha mapenzi ya wazi kwa madrid anamaliza mpira wakati wa hatari kwa madrid
 
Chubirini chacha kwenye kiwanja cha matope ... ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Chubirini chacha kwenye kiwanja cha matope ... ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Ndo maneno yenu hayo, leo mlisema tunafungwa sasa mnaanza swaga za tusubiri kwenye matope
 
Robin-VanPersie_2900290.jpg
Diego-Lopez_2900299.jpg
 
Kwa sasa Rio yupo kwenye form nzuri sana, huwa nawapenda wakicheza na Evans kwa kuwa wote wana uwezo wa kuanzisha mashambulizi wao wenyewe wa kupanda
Teh teh teh teh....leo mbona sijaona hayo mashambulizi????
 
Kwenye hii game RM walicheza kwa kasi mno kipindi cha kwanza, kipindi cha pili wakawa wamechoka sanasana diMaria na Alonso. Hii hali imetokea hata katika game wanazocheza na Barca.

Mourinho ameogopa mno mpaka akamuingiza Pepe na kuwa na three CB

Haya matokeo ni mazuri kwetu kwani wakija OT tutawafunga za kutosha

Refa ameharibu sana mchezo, mara mbili Ramos amecheza faulo akiwa mtu wa mwisho refa akawa anapotezea, na zaidi ni upu.uzi alioufanya mwishoni kumaliza mpira wakati kona haijapigwa. Alichezesha mechi ya nusu fainali Chelski na Barca ya msimu uliopita na alishawahi kumpa red vidic bweg.e kabisa huyu.
 
Well done devils...kazi nzur sana kwa Jones kwa proper marking kwa cr7 as beki 4 yetu, ingawa naona Rafa alikua anatumia nguvu nyingi kuliko akili. Kaz nzuri kwa welbeck kwa kuweza kuhangaika peke ake. Jamaa nilipowaona dk 20 za kwamza i,was damn comfortble kuwa, hata iwaje hawana chao OT...safar imewadia!
 
Ngapi ngapi? Utawaona tu wakicheza Gunners maneno mengi kama pili pili manga. Matokeo Matokeo hamna, wote wanawaza mashoga wanawewesekaweweseka tu damn it! Fungie kamfunga Morinyo mara mbili tu wakati Morinyo kambangua mara sita .... ..... na wametoka sare mara sita chacha Fungie nasikia kapaki basi.
Tuambie na Fagason kambangua Mr. Bean mara ngapi?
 
SAF alipanga kikosi kizuri na timu ilicheza vizuri sana kwenye defence,tulipata nafasi chache lakini za wazi tungeweza kushinda.Matokeo ni mazuri kwetu na defence ya Madrid sio nzuri naamini game ijayo tutapata ushindi na kuwatoa
 
Duh refaa katumaliza sana.foul za RM hazioni kabisa ngoja tuawasubiri OT watakoma .
 
Back
Top Bottom