Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Team News

Scot Mc Tominay amerudi kwenye kikosi, akifanya mazoezi kamili (full training) na wenzake. He is the worior, siku zote amekuwa akirudi mapema kikosini kuliko inavyotazamiwa kila mara anapopata injury. Amekaa wiki 6 badala miezi 2 iliyotazamiwa. Hata hivyo hajaonekana akipanda ndege kwenda Ubelgiji

Lindelof amefanya mazoezi na kikosi cha kwanza, hii ni baada ya kushindwa kucheza mechi ya Chelsea. Lindelof amesafiri na kikosi kwenda Ubelgiji kuwakabili Club Brugge

Ighalo, Fernandez na Bishop wachezaji 3 waliosajiliwa katika dirisha dogo wote wameshiriki katika mazoezi ya mwisho leo kabla ya kwenda Ubelgiji na wote wamekwenda na kikosi.

Rashford, Tuanzebe, Fosu Mensah na Kirusi bado hawajawa fit kiasi cha kushiriki mazoezi ya kikosi na kujumuishwa kwenye kikosi cha timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila washabiki wa united kwa pumba ni balaa, kocha na timu inayomfanya Fred aonekane World class sio kitu tena? Msimu huu Rashford amekua na mafanikio zaidi kuliko misimu yote aliochezea united na bado msimu haujaisha. Kocha ambae kila usajili wake ni mkali ndo sio kocha tena. Halaand na agent wake wana matatizo, lile jamaa lilitaka kiwekwe kipengele kama atauzwa baadae kuwe na fungu lake. Kwa kufanya hivyo maana yake agent anaweza kutengeneza zengwe baadae ili mchezaji auzwe lipate pasenti yake. Na hii mara nyingi inatokea mchezaji anapokuwa amefanya vizuri sana na ni tegemeo kwenye timu. Raiola ndio huyo anaemsimanga Ole kwa Pogba kwasababu anaona Pogba atakosa soko akiendelea kuwa United. Tuwe na taarifa sahihi kabla ya kuponda timu yetu. Muangalieni Frank Rijkaard alipoanza kuifundisha Barcelona, kabla ya Barcelona timu aliyoifundisha kule uholanzi aliishusha daraja kwa mara ya kwanza na Barcelona ikamuamini. Akiwa na Barcelona kuna wakati Barcelona ikawa katika nafasi za kushuka daraja. Yeye ndie aliempeleka Etoo na Ronaldinho Barcekona na akachukua UEFA baada ya miaka kadhaa ya barca kusuasua. Fuatilieni mambo united. Huyu ndie kocha wa kwanza united ambae mchezaji anaesajiliwa anaingia moja kwa moja kwenye timu na kufanya mabadiliko. Mpewe nini umbwa nyie? Aaagh
Kweli mkuu, OGS apewe dirisha lingine alete maingizo yake ndio tuje kumlaumu hapa, hakuna muujiza ktk soka zaidi ya uvumilivu
kwanza kabla ya yote amuuze haraka iwezekanavyo Corona Virus Pogba kabla hajambukiza dressing room

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Rashford atakosa msimu mzima
Team News

Scot Mc Tominay amerudi kwenye kikosi, akifanya mazoezi kamili (full training) na wenzake. He is the worior, siku zote amekuwa akirudi mapema kikosini kuliko inavyotazamiwa kila mara anapopata injury. Amekaa wiki 6 badala miezi 2 iliyotazamiwa. Hata hivyo hajaonekana akipanda ndege kwenda Ubelgiji

Lindelof amefanya mazoezi na kikosi cha kwanza, hii ni baada ya kushindwa kucheza mechi ya Chelsea. Lindelof amesafiri na kikosi kwenda Ubelgiji kuwakabili Club Brugge

Ighalo, Fernandez na Bishop wachezaji 3 waliosajiliwa katika dirisha dogo wote wameshiriki katika mazoezi ya mwisho leo kabla ya kwenda Ubelgiji na wote wamekwenda na kikosi.

Rashford, Tuanzebe, Fosu Mensah na Kirusi bado hawajawa fit kiasi cha kushiriki mazoezi ya kikosi na kujumuishwa kwenye kikosi cha timu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh ole mbinu zake zinaonekana
Mm kama mwanamichezo naangaliaga game kibao tu za man u ,

Mbinu za jamaa zinaonekana ,na mpira unaonekana , kuanzia mech za city unaona kabisa counter attack zinaonekana , mech na Chelsea , mbona man u mpira wanaweka chini wanapiga pass vzr ,tatizo linabak labda kwa martial kidogo , yuke ighalo anaweza kuwasaidia .

Sajiri zake zinaonesha uhai, sasa hivi hata kiungo wenu Fred anakichafua balaa , shida ni kwenye attacking , hiyo ni improvement kubwa
 
ole gunnar solskjaer
On Aaron Wan-Bissaka
What have you been working on with him?

We have been working on patterns and movement and relationship with strikers. The strikers need to get in the box, fill the box with more players we’ve not had too many numbers in the box.

Aaron has provided a few nice assists now he has a big part to play. When you’re at United as a full back you do have to provide assists.
He’s one of the best one v one defenders I’ve ever seen.
 
Lingard has more goals this year than Coutinho, Sterling and Lacazette combined
20200220_080324_rmscr-1.jpg
 
Hata wakimwachia free itamshusha hadhi sana Pogba na Makampuni ya kibiashara hayatamuona tena kama ni mtu anayefaa kufanya nae biashara.

Pogba thamani yake ilipaa sana alipokuwa Man united lakini akiondoka kwa dhalili atapata pigo kubwa sana kibiashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono Pogba kuondoka.

But kuondoka kama free agent, kuna hasara nyingi kuliko faida kwa timu.

Mkataba wake unaisha 2021, maana hiyo atalipwa mshahara mpka atakapo ondoka . hii inaweza kuzuia kusajiri.
Wakati unaweza kumuuza hata kwa £90m. Ukasajiri Middle wawili na ukawalipa mshahara wake.
Hapo hujaangalia damage atakayoifanya kwa timu yeye na agent wake.

Na kwenye biashara yoyote(Man U included), lengo ni kupata faida ,sio kumkomoa mtu.

Beggars can't be choosers
 
Our Scot is back.

Tunamhitaji kwenye mechi ya Everton away, Matic apumzike.

Mechi ya leo, Ole aweke full kikosi, mechi tuimalize hukohuko kwao, ili mechi ya marudiano FRED apumzike(kwa ajili ya everton)

Jumapili dhidi ya Watford full kikosi.

Beggars can't be choosers
Sure mkuu

inabidi tumalize hii mechi mapema huko huko kwao
 
Nafikiri Fred anatakiwa apumzike amecheza sana this season .
Our Scot is back.

Tunamhitaji kwenye mechi ya Everton away, Matic apumzike.

Mechi ya leo, Ole aweke full kikosi, mechi tuimalize hukohuko kwao, ili mechi ya marudiano FRED apumzike(kwa ajili ya everton)

Jumapili dhidi ya Watford full kikosi.

Beggars can't be choosers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu karibu tena Jukwaani, hizi siku mbili tatu ulipotea
Lacazette amefunga juzi kwenye ushindi wa Arsenal 4 - 0.

Lingard ameushushia heshima mchezo wa mpira wa miguu. Hakustahili kabisa kuwa mchezaji wa mpira wa miguu bali mchezaji wa mchezo wa marathon. Akakimbie kwenye mbio za jumuiya ya madola.

Sent using Cash Money Wings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom