Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,383
- 12,577
Timu inafubgwa goli Dakika ya 15,Hata kusubiri HT ifike uneshindwa umekimbilia kumtukana Kocha.Club Brugge washafanya yao 1-0.
timu hii ya OGS mbovu kama simba. Na kocha huyu alivyo mpumbavu kufanya Sub, atakuja kufanya sub ya kwanza dakika ya 85.
Sent using Jamii Forums mobile app