Tuachie kabisa Lingardinho wetu . Huyo jamaa akiwa hana mpira anakuwa hatari sanaaa. Usifikiri anakimbia kimbia tu kama headless chicken , zile move zina madhara makubwa mno.Lacazette amefunga juzi kwenye ushindi wa Arsenal 4 - 0.
Lingard ameushushia heshima mchezo wa mpira wa miguu. Hakustahili kabisa kuwa mchezaji wa mpira wa miguu bali mchezaji wa mchezo wa marathon. Akakimbie kwenye mbio za jumuiya ya madola.
Sent using Cash Money Wings
DSTV huwa hawaonyeshi Uefa Europa Ligi? Maana nimejaribu kusaka sioni.
DSTV huwa hawaonyeshi Uefa Europa Ligi? Maana nimejaribu kusaka sioni.
DSTV huwa hawaonyeshi Uefa Europa Ligi? Maana nimejaribu kusaka sioni.
Mkuu inategemea na kifurushi chako..mimi nalipa 160,000 kwa mwezi mbona naona.
Sent using Jamii Forums mobile app
DStv kifurushi cha 160,000 ni kipi hicho mkuu?Mkuu inategemea na kifurushi chako..mimi nalipa 160,000 kwa mwezi mbona naona.
Sent using Jamii Forums mobile app


DStv kifurushi cha 160,000 ni kipi hicho mkuu?
Ni kweli wanaoonyesha kwa hapa bongo ni Startimes