Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Former Sporting boss Carlos Carvalhal:
"Bruno Fernandes is not a number 10. He is a midfielder but he has developed that ability to break the line of the defence to score goals. “He shoots, he assists, the passes and the free-kicks. But he is not a 10, he is an 8." . . .
Watu watakuja kubisha hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haland tungemharibu ni bora ameenda huko Dortumund. Hatuna timu wala kocha ambaye angeweza kumtumia.
ila washabiki wa united kwa pumba ni balaa, kocha na timu inayomfanya Fred aonekane World class sio kitu tena? Msimu huu Rashford amekua na mafanikio zaidi kuliko misimu yote aliochezea united na bado msimu haujaisha. Kocha ambae kila usajili wake ni mkali ndo sio kocha tena. Halaand na agent wake wana matatizo, lile jamaa lilitaka kiwekwe kipengele kama atauzwa baadae kuwe na fungu lake. Kwa kufanya hivyo maana yake agent anaweza kutengeneza zengwe baadae ili mchezaji auzwe lipate pasenti yake. Na hii mara nyingi inatokea mchezaji anapokuwa amefanya vizuri sana na ni tegemeo kwenye timu. Raiola ndio huyo anaemsimanga Ole kwa Pogba kwasababu anaona Pogba atakosa soko akiendelea kuwa United. Tuwe na taarifa sahihi kabla ya kuponda timu yetu. Muangalieni Frank Rijkaard alipoanza kuifundisha Barcelona, kabla ya Barcelona timu aliyoifundisha kule uholanzi aliishusha daraja kwa mara ya kwanza na Barcelona ikamuamini. Akiwa na Barcelona kuna wakati Barcelona ikawa katika nafasi za kushuka daraja. Yeye ndie aliempeleka Etoo na Ronaldinho Barcekona na akachukua UEFA baada ya miaka kadhaa ya barca kusuasua. Fuatilieni mambo united. Huyu ndie kocha wa kwanza united ambae mchezaji anaesajiliwa anaingia moja kwa moja kwenye timu na kufanya mabadiliko. Mpewe nini umbwa nyie? Aaagh
 
Nilitaka kuandika hiki kitu cross chache za bruno tayari Maguire anaonekana Mtu kwenye Kona.

Na james majeruhi ya Rashford yamemuongezea majukumu. Jana alikuwa akichezeshwa kama striker, ndio maana unamuona kawa vile, katumika sana jamaa anahitaji rest.

Asee! James Namhurumia
 
Eti"Mpewe nini umbwa nyie"
 
Nilitaka kuandika hiki kitu cross chache za bruno tayari Maguire anaonekana Mtu kwenye Kona.

Na james majeruhi ya Rashford yamemuongezea majukumu. Jana alikuwa akichezeshwa kama striker, ndio maana unamuona kawa vile, katumika sana jamaa anahitaji rest.
James sio mambo ya majukumu..hata kipindi Rashford hajaumia,huwa inakuwa ngumu sana yeye kutembea timu pinzani ikiziba nafasi..yaani ni mzuri tu kwenye quick break..apart from that sioni jambo kubwa analoweza,na sisi tunategemea makubwa kutoka kwake

Maybe ata-improve with time
 
Akicheza kushoto creativity huwa inaongezeka kuliko kucheza kulia.

Ndiyo maana akistruggle right wing huwa anahamia left wing ambako yupo comfortable zaidi kucheza.
James sio mambo ya majukumu..hata kipindi Rashford hajaumia,huwa inakuwa ngumu sana yeye kutembea timu pinzani ikiziba nafasi..yaani ni mzuri tu kwenye quick break..apart from that sioni jambo kubwa analoweza,na sisi tunategemea makubwa kutoka kwake

Maybe ata-improve with time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wings wanaotumia mguu wa kulia wengi kwa Modern football wanachezeshwa kushoto anakuwa na wide area ya kuoperate offensively.

Anaweza akapiga far post, near post na anaweza kuingia ndani pale striker anapoopt kwenda wide hivyo scoring rate inaongezeka.

Sasa kwa James imekuwa ngumu kumchezesha huko kutokana na uwepo wa Rashford na Martial ambao wote wapo comfortable kucheza kushoto.

Lakini pia Bissaka anacheza deep sana hivyo kuifanya timu ifanye quick transition tunapowin second balls jamaa huyo inalazimika acheze huko.

After all hatuna right wing sababu zote hizo zinachangia acheze right wing.
Upo sawa

Hata goli mbili kati ya tatu alizofunga,alikuwa anatokea kushoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom