Manchester United (Red Devils) | Special Thread

James sio mambo ya majukumu..hata kipindi Rashford hajaumia,huwa inakuwa ngumu sana yeye kutembea timu pinzani ikiziba nafasi..yaani ni mzuri tu kwenye quick break..apart from that sioni jambo kubwa analoweza,na sisi tunategemea makubwa kutoka kwake

Maybe ata-improve with time
Ukiachana na quick break james ana cross nzuri, kabla Rash hajaumia ilikuwa ndio patnership bora ligi ya uingereza ikifungana na Kdb na Aguero, cross 4 za james Rashford alifunga. Hapo tena kuna goli 2 rashford alifunga hakupewa yeye wakapewa makipa kwa cross za james.
 
Nasikia Sauti ya Pogba katika maneno ya Mino Raiola.

Ifikie wakati Man united wawe na msimamo juu ya suala la Pogba.

Man united imewahi kufanya vizuri sana kabla ya Pogba hata hajazaliwa.

Pogba akiondoka Man united kuna wachezaji wengi sana Duniani wanaweza kucheza nafasi ya Pogba kwa kiwango kama cha Pogba au zaidi ya Pogba.

Kwanini United wanaendelea kumshikilia Pogba katika ya sintofahamu namna hii ?

Ningelikuwa Woodward ningemuuza Pogba kwa Pound 2 tu ili timu yoyote inayomhitaji waje wamchukue na vipimo vya afya ningewasaidia kumfanyia kwa vifaa vya Club.

Inatosha sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila washabiki wa united kwa pumba ni balaa, kocha na timu inayomfanya Fred aonekane World class sio kitu tena? Msimu huu Rashford amekua na mafanikio zaidi kuliko misimu yote aliochezea united na bado msimu haujaisha. Kocha ambae kila usajili wake ni mkali ndo sio kocha tena. Halaand na agent wake wana matatizo, lile jamaa lilitaka kiwekwe kipengele kama atauzwa baadae kuwe na fungu lake. Kwa kufanya hivyo maana yake agent anaweza kutengeneza zengwe baadae ili mchezaji auzwe lipate pasenti yake. Na hii mara nyingi inatokea mchezaji anapokuwa amefanya vizuri sana na ni tegemeo kwenye timu. Raiola ndio huyo anaemsimanga Ole kwa Pogba kwasababu anaona Pogba atakosa soko akiendelea kuwa United. Tuwe na taarifa sahihi kabla ya kuponda timu yetu. Muangalieni Frank Rijkaard alipoanza kuifundisha Barcelona, kabla ya Barcelona timu aliyoifundisha kule uholanzi aliishusha daraja kwa mara ya kwanza na Barcelona ikamuamini. Akiwa na Barcelona kuna wakati Barcelona ikawa katika nafasi za kushuka daraja. Yeye ndie aliempeleka Etoo na Ronaldinho Barcekona na akachukua UEFA baada ya miaka kadhaa ya barca kusuasua. Fuatilieni mambo united. Huyu ndie kocha wa kwanza united ambae mchezaji anaesajiliwa anaingia moja kwa moja kwenye timu na kufanya mabadiliko. Mpewe nini umbwa nyie? Aaagh
Umewaambia ukweli

Timu ni process kujengwa , sio overnight umeamka una timu nzuri ,hakuna biashara hiyo.

Ole Mimi naonaga hata mbinu zake zinaonekana, baada ya summer anaweza kupata timu nzuri tu, Maana sajiri zake zinaonekana zina function .

Mpeni muda
 
Nasikia Sauti ya Pogba katika maneno ya Mino Raiola.

Ifikie wakati Man united wawe na msimamo juu ya suala la Pogba.

Man united imewahi kufanya vizuri sana kabla ya Pogba hata hajazaliwa.

Pogba akiondoka Man united kuna wachezaji wengi sana Duniani wanaweza kucheza nafasi ya Pogba kwa kiwango kama cha Pogba au zaidi ya Pogba.

Kwanini United wanaendelea kumshikilia Pogba katika ya sintofahamu namna hii ?

Ningelikuwa Woodward ningemuuza Pogba kwa Pound 2 tu ili timu yoyote inayomhitaji waje wamchukue na vipimo vya afya ningewasaidia kumfanyia kwa vifaa vya Club.

Inatosha sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu baada ya Raiola kutoa hio comment baadae ameomba msamaha na kurudisha maneno yake, amesema hakujua kama man u wana mechi kubwa pia amekiri pogba ni mchezaji wa man u na anaweza sign mkataba mpya.

Unafikiri nani amemwambia aombe msamaha na kusema hivyo?

Media zina agenda zao wengi wamereport comment ya kwanza na kuacha ya pili

Ukiachana na quick break james ana cross nzuri, kabla Rash hajaumia ilikuwa ndio patnership bora ligi ya uingereza ikifungana na Kdb na Aguero, cross 4 za james Rashford alifunga. Hapo tena kuna goli 2 rashford alifunga hakupewa yeye wakapewa makipa kwa cross za james.
Mkuu hizo krosi anapiga vizuri tukiwa tunafanya kaunta na ndo mechi alizo shine zaidi..refer big matches tulizocheza

James hawezi kuwa key player wetu kwa sasa ila kocha inabidi ampe nafasi ya kucheza kushoto zaidi kwenye mechi ambazo hatupewi nafasi ya kufanya kaunta..hasa kipindi hiki ambacho Rashford yupo nje
 
Mkuu hizo krosi anapiga vizuri tukiwa tunafanya kaunta na ndo mechi alizo shine zaidi..refer big matches tulizocheza

James hawezi kuwa key player wetu kwa sasa ila kocha inabidi ampe nafasi ya kucheza kushoto zaidi kwenye mechi ambazo hatupewi nafasi ya kufanya kaunta
Ni kweli mkuu james hawezi kuwa key player ndio maana hata mimi nalilia usajili wa sancho, ila james ni squad player mzuri sana.

na hizo cross si mechi kubwa tu, katika assist zake 6 msimu huu mbili tu ndio mechi kubwa Liver na city ila assist 4 zinatokana na mechi ndogo kama Norwich, shefield, burnley na Everton.

Na uwepo wa Ighalo sasa hivi pia utahitaji service ya huyu jamaa, hope watakuwa paired sana Europa.
 
Raiola muhuni tu alikua anajua kabisa Utd wanacheza na ndio maana alisema hivyo ili iwe viral.Nafikiri amejishtukia baada ya kuona mambo hayajaenda kama alivyotaka tu.
Mkuu baada ya Raiola kutoa hio comment baadae ameomba msamaha na kurudisha maneno yake, amesema hakujua kama man u wana mechi kubwa pia amekiri pogba ni mchezaji wa man u na anaweza sign mkataba mpya.

Unafikiri nani amemwambia aombe msamaha na kusema hivyo?

Media zina agenda zao wengi wamereport comment ya kwanza na kuacha ya pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raiola muhuni tu alikua anajua kabisa Utd wanacheza na ndio maana alisema hivyo ili iwe viral.Nafikiri amejishtukia baada ya kuona mambo hayajaenda kama alivyotaka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba anaweza kuwa na shida shida ila huyu wakala wake ndo mpumbavu zaidi au inawezekana Pogba ndo anapika naye hizi propaganda
 
Mkuu baada ya Raiola kutoa hio comment baadae ameomba msamaha na kurudisha maneno yake, amesema hakujua kama man u wana mechi kubwa pia amekiri pogba ni mchezaji wa man u na anaweza sign mkataba mpya.

Unafikiri nani amemwambia aombe msamaha na kusema hivyo?

Media zina agenda zao wengi wamereport comment ya kwanza na kuacha ya pili

Hakuna cha media agenda wala nini, huyo Pogba yuko nyuma ya maneno ya wakala wake.
Huyo Raiola anafanya kazi ya kuuma na kupuliza.
Mimi ninavyoona.
lengo lao ni moja wanataka Pogba aondoke Summer ijayo.

Tatizo ni Moja ni timu chache zinaweza kukubaliana na Valuation ya Man u.

Ndio maana Raiola (Pogba)anachafua hali ya hewa ili thamani ya mteja wake ishuke.
Jiulize ni kwanini hata kaka Yake) ame comment vilevile.

IMG_20200219_160659_455.jpg

Kwani umesahau Summer iliyopita Pogba aliropoka nini.

Cha mhimu hapo, Auzwe Summer. Pesa itumike kumleta yule kijana wa Aston villa.

Beggars can't be choosers.
 
Pogba mwenyewe summer iliyopita alisema anataka kuondoka.

View attachment 1362722

Beggars can't be choosers
Pogba ana mkataba wa miaka 2 na option ya ku extend mwaka mmoja kama kumbukumbu zipo sahihi, na Ed wala hajali kinachoendelea uwanjani as long as anauza jezi na hela inaingia kwenye PR na marketing yeye anafurahi tu. Anaweza akamuacha hadi akiwa na miaka 30. Hivyo either timu zinatoa hio 150 anayotaka Ed ama atabaki Man U.

Na Mkuu Raiola ni muhuni kila mtu anamjua ila Pogba nitamtetea vitu vingi huwa watu wanamsingizia na speculation tu, hata hio ya Raiola ku backtrack maneno yake mwenyewe kuna uwezekano mkubwa ni pogba ndio amemwambia.

Na hata kama pogba anataka kuondoka ni sawa ila jamaa anaipenda man U na ni popular figure kwa watoto wetu academy na wachezaji wengi tu, mkuu naweza take time na kukutafutia interview nyingi tu za wachezaji wetu wageni tunaowasajili na watoto wa academy wakimshukuru jamaa kwa kusettle kikosi cha kwanza man U. Even Fred juzi anahojiwa anamshukuru Pogba kwa kumsaidia. Kuna mambo mengi sana mkuu yanaendelea nyuma ya pazia ambayo sisi hatuyajui ila media zinatulisha tu sumu.
 
Maneno ni Mino Raiola ila sauti ya Pogba badala ya Pogba kusema wazi yeye mwenyewe kamkabidhi jukumu hilo Mino alifanye.

Man united watakuwa wamefanya jambo la busara sana alimwachia Pogba akaondoka kama free agent tu.

There is nothing watakachopoteza zaidi ya kutoa somo kwa wachezaji wengine kuheshimu mikataba yao.
Pogba anaweza kuwa na shida shida ila huyu wakala wake ndo mpumbavu zaidi au inawezekana Pogba ndo anapika naye hizi propaganda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wakimwachia free itamshusha hadhi sana Pogba na Makampuni ya kibiashara hayatamuona tena kama ni mtu anayefaa kufanya nae biashara.

Pogba thamani yake ilipaa sana alipokuwa Man united lakini akiondoka kwa dhalili atapata pigo kubwa sana kibiashara.
Hakuna cha media agenda wala nini, huyo Pogba yuko nyuma ya maneno ya wakala wake.
Huyo Raiola anafanya kazi ya kuuma na kupuliza.
Mimi ninavyoona.
lengo lao ni moja wanataka Pogba aondoke Summer ijayo.

Tatizo ni Moja ni timu chache zinaweza kukubaliana na Valuation ya Man u.

Ndio maana Raiola (Pogba)anachafua hali ya hewa ili thamani ya mteja wake ishuke.
Jiulize ni kwanini hata kaka Yake) ame comment vilevile.

View attachment 1362722

Kwani umesahau Summer iliyopita Pogba aliropoka nini.

Cha mhimu hapo, Auzwe Summer. Pesa itumike kumleta yule kijana wa Aston villa.

Beggars can't be choosers.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But still hajawahi kukanusha statements zake kuwa anahitaji new challenges.
Pogba ana mkataba wa miaka 2 na option ya ku extend mwaka mmoja kama kumbukumbu zipo sahihi, na Ed wala hajali kinachoendelea uwanjani as long as anauza jezi na hela inaingia kwenye PR na marketing yeye anafurahi tu. Anaweza akamuacha hadi akiwa na miaka 30. Hivyo either timu zinatoa hio 150 anayotaka Ed ama atabaki Man U.

Na Mkuu Raiola ni muhuni kila mtu anamjua ila Pogba nitamtetea vitu vingi huwa watu wanamsingizia na speculation tu, hata hio ya Raiola ku backtrack maneno yake mwenyewe kuna uwezekano mkubwa ni pogba ndio amemwambia.

Na hata kama pogba anataka kuondoka ni sawa ila jamaa anaipenda man U na ni popular figure kwa watoto wetu academy na wachezaji wengi tu, mkuu naweza take time na kukutafutia interview nyingi tu za wachezaji wetu wageni tunaowasajili na watoto wa academy wakimshukuru jamaa kwa kusettle kikosi cha kwanza man U. Even Fred juzi anahojiwa anamshukuru Pogba kwa kumsaidia. Kuna mambo mengi sana mkuu yanaendelea nyuma ya pazia ambayo sisi hatuyajui ila media zinatulisha tu sumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewaambia ukweli

Timu ni process kujengwa , sio overnight umeamka una timu nzuri ,hakuna biashara hiyo.

Ole Mimi naonaga hata mbinu zake zinaonekana, baada ya summer anaweza kupata timu nzuri tu, Maana sajiri zake zinaonekana zina function .

Mpeni muda
Duuuh ole mbinu zake zinaonekana
 
Kujibu comment yangu ni ishara tosha unapoteza muda wako kusoma comment za mtu wa buza anayefuatilia maisha ya mtu.

Mfuasi wa mpumbavu nae ni mpumbavu.
Uko Buza umeshiba makande unajifanya una jicho mbali kushinda Pogba kwenye kuona kesho Yake.

Shangilia mpira achana na life la watu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom