Ishakuwa rasmi kwamba Tukichukua ndoo inabidi tupigiwe guard of honour?niwape pole wale wote watakaokutana na gwaride la heshima.
ahsante FA kwa kutuepushia adhabu hiyo na mapemaaa.
Kabisa aiseee ingekua noma sananiwape pole wale wote watakaokutana na gwaride la heshima.
ahsante FA kwa kutuepushia adhabu hiyo na mapemaaa.
Martial sio lone striker hawezi kukaa mbele peke yake kuwe na magoli, toka aumie Rashford na form ya martial imeshuka ila kabla hajaumia Rashford mbona amefunga Goli nyingi tu? Usisahau amefunga Goli 8 ndani ya hizi mechi chache alizocheza, bado goli 3 tu afikie Record yake ya goli 11 ya 2015/16.Bado najiuliza.
Inamaana Anthony Martial amekuwa garasa kwa uzembe wake au mbinu za kocha zimeshundwa kumfanya ang'are?
Wachezaji wanakuja wazuri, ila kocha ana mbinu mbovu mpaka wanashindwa kuonesha viwango vyao kwa muda mrefu.
Daniel James naye hivyohivyo.
Bado naamini Martial hajawa mbovu kiasi hiki, kocha ndie mbovu. Hana mbinu sahihi za kutumia wachezaji wenye vipaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Manchester United in EPL this year
Arsenal 2 Manchester United 0
Manchester United 4 Norwich 0
Liverpool 2 Manchester United 0
Manchester United 0 Burnley 2
Manchester United 0 Wolves 0
4 points out of 15
4 goals scored
6 goals conceded
Our next 5 EPL game
• Chelsea (A)
• Watford (H)
• Everton (A)
• Man City (H)
• Spurs (A)
Sent using Jamii Forums mobile app
niwape pole wale wote watakaokutana na gwaride la heshima.
ahsante FA kwa kutuepushia adhabu hiyo na mapemaaa.
Ole bora akaimbe singeli tuHoja ya Bruno kuzungukwa na wachezaji wabovu haina uzito Mkuu
Kwani pale Sporting alizungukwa na akina nani?
Man Utd wakiwa kamili, yupo Degea/Romero, Wana Bissaka/Dalot, Shaw/Williams, Lindelof, Tuanzebe, Maguire, Bailly, Tominay/Fredy/Matic, Pogba, Rashford, Martial, Greenwood, James
Summer additions: Madison/Grealish, Sancho/Right winger Grealish na Striker yoyote (hawa tuachane nao)
Labda poor coaching ndio imuangushe. Na hilo benchi la ufundi (likiendelea hivyo) a summer after next summer hatutakuwa nalo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha!...Huyu dogo ni mtoto wa bwana Bishop Hiluka
Tatizo watu wana hype za kina Bruno wasijue kocha hana uwezo wa kuwatumia hao wachezaji?Hana uwezo Wa kutengeneza huo mfumo unaousema. Tutaendelea kushambulia kwa kuvizia na ushindi Wa kupwa na kujaa
Wakati Ole alikuwa care taker wa United alikuwa anashida mfululizo.Hoja ya Bruno kuzungukwa na wachezaji wabovu haina uzito Mkuu
Kwani pale Sporting alizungukwa na akina nani?
Man Utd wakiwa kamili, yupo Degea/Romero, Wana Bissaka/Dalot, Shaw/Williams, Lindelof, Tuanzebe, Maguire, Bailly, Tominay/Fredy/Matic, Pogba, Rashford, Martial, Greenwood, James
Summer additions: Madison/Grealish, Sancho/Right winger Grealish na Striker yoyote (hawa tuachane nao)
Labda poor coaching ndio imuangushe. Na hilo benchi la ufundi (likiendelea hivyo) a summer after next summer hatutakuwa nalo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kuna kocha sasa?Manchester United in EPL this year
Arsenal 2 Manchester United 0
Manchester United 4 Norwich 0
Liverpool 2 Manchester United 0
Manchester United 0 Burnley 2
Manchester United 0 Wolves 0
4 points out of 15
4 goals scored
6 goals conceded
Our next 5 EPL game
• Chelsea (A)
• Watford (H)
• Everton (A)
• Man City (H)
• Spurs (A)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kung'aa kwa Martial kunamtegemea Rashford? Au mfumo wa kocha?Martial sio lone striker hawezi kukaa mbele peke yake kuwe na magoli, toka aumie Rashford na form ya martial imeshuka ila kabla hajaumia Rashford mbona amefunga Goli nyingi tu? Usisahau amefunga Goli 8 ndani ya hizi mechi chache alizocheza, bado goli 3 tu afikie Record yake ya goli 11 ya 2015/16.
Hata december timu yetu ilishinda mfululizo ukitoa mechi ya watford, Mc tominay, pogba na wengineo waliporudi tuliwafunga city, spurs, newcastle na burnley tena kwa goli 2 ama zaidi. Na mechi ya newcastle ambayo tulicheza mfumo wetu pendwa 4-3-3 tulishinda 4.Kwahiyo kung'aa kwa Martial kunamtegemea Rashford? Au mfumo wa kocha?
Swali lingine, Ole alishinda mechi mfululizo akiwa caretaker wa United. Baada ya kupewa mkataba rasmi timu imepoteza mechi nyingi sana na anaonekana yupo comfortable kabisa. Nipe sababu, why this drop? Nani alaumiwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanchez hapati mshahara mkubwa akiwa hachezei Man U. De gea ndio analipwa zaidi man U.Huyo mchezaji hewa Sanchez ana mkataba mpaka lini wakuu.?
Maana mpunga anavuta mrefu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine mashabiki wa united tunashindwa kuona mapungufu yaliyosababishwa na injury ya Pogba, Scot, Martial na sasa Rashford.Hata december timu yetu ilishinda mfululizo ukitoa mechi ya watford, Mc tominay, pogba na wengineo waliporudi tuliwafunga city, spurs, newcastle na burnley tena kwa goli 2 ama zaidi. Na mechi ya newcastle ambayo tulicheza mfumo wetu pendwa 4-3-3 tulishinda 4.
Toka mwanzo tuna kikosi chembamba na majeruhi yamezidi kukifanya kiwe chembamba. Mechi zote za ligi ambazo Perreira amecheza katikati na fred tumefungwa hata draw hatujapata.
Matic aliporudi kuwa fit tumeona umuhimu wake, akirudi pogba na Mc tominay na midfield nyengine zikiwa fit utakisahau hichi kikosi.
Kuhusu ole hata msimu uliopita alianza kudrop point alipoumia Herrera, fred alikuwa anacheza vizuri UCL ila ligi ilikuwa ni tia maji tia maji, na gundu la majeruhi linaendelea hadi leo.
Na kuhusu martial usisahau mkuu hajawahi Martial kuwa na kiwango kushinda kipindi cha Ole, na mtu yoyote anaesema Martial ama Rashford wamepotea kipindi cha ole nahisi kama huwa haangalii mpira.
Mkuu leo hii mchukue salah, ama mane muweke peke yake pale mbele bila msaada watu wataanza kumtukana. Same kwa messi, dybala na wengine wataalamu wa 4-3-3
Kuna mastriker design ya Ibra, lukaku, ighalo, cavani etc hawa wanashine kama lone striker ila kuna wengine hawawezi.
Hata rashford mwanzo wa msimu alipoumia martial si mulikuwa munamtukana humu kwamba ni garasa? Ila aliporudi martial baada ya wiki kadhaa watu wanamfananisha na ronaldo.
Wakati Ole alikuwa care taker wa United alikuwa anashida mfululizo.
Baada ya kupewa mkataba, akaanza kupoteza mfululizo.
Kwanini? Nini kimechangia timu kuwa hovyo baada ya yeye kusign mkataba mpya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumziaje december tulicheza 4-3-3 na tukadhinda 2+ mechi 4, baada ya majeruhi ya Mc tominay tukarudi na 2 man midfield?1. Momentum ya kocha mpya, wachezaji kuhamasika zaidi na mentality ya kutaka kumuonesha kocha anayeondoka (Jose) kwamba we are good and you were a problem (hapa watu kama Martial, Pogba & Co. wanahusika zaidi )
2. Timu pinzani kutomfahamu vizuri OGS kama kocha hivyo kushindwa kumkabili. Mara baada ya kujua mbinu za kocha, hususani reliance kwenye counter attacking ndipo timu ndogo zilipoamua kutumia mbinu ya Low block na United kukosa mbinu za kuvunja ukuta wa timu ndogo. Hii sababu ndio ninayoiamini zaidi.
3. Kuna baadhi ya watu wanaamini mfumo wa 4-3-3 na uwepo wa Herrera ndio ulichangia zaidi mafanikio ya United. Kwamba uwepo wa Herrera ulifanya kocha ampange Pogba kwenye nafasi za ushambuliaji zaidi kuliko msimu huu anavyompanga nyuma kwenye mfumo wa 4-2-3-1 ambao amekuwa akiutumia sana. Je sasa hivi hatuna mchezaji mwingine mwenye caliber ya Herrera? (hii hoja siiamini)
4. Hali ya ukocha wa muda ilimfanya OGS awe more comfortable, asiwe na hofu ya kupoteza tofauti na kuwa kocha wa Kudumu ambapo anakuwa na pressure zaidi. Hii inatajwa kama sababu kwani OGS wakati ni interm alikuwa akiwaambia akina Pogba, Rashford, Martial & Co. go and enjoy your game, hii iliwafanya wachezaji wacheze kwa uhuru na kuwa na ubunifu zaidi hivyo hii iliwachochea wachezaji wacheze to their full potential na kupata ushindi mechi nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app