Kama Sanchez,Di Maria hahahNilipigwa ban lkn is all okay.
Sadism kwa aliyenisemea was part of it.
Back to the point. Sisi wanaotubatiza majina mabaya, tunamvuto all days al the time. BF akipewa namba saba.
Anaweza akawa main Man ikitokea akawa na kismati, mvuto, nyota nk wote waliivaa namba 7 walikuwa hivyo
Hiyo ilikuwa ni michezo ya wakala tu....barca hawajamtaka huyu mtu,barca wanahangaika na striker kuziba pengo la Suarez na sio viungo maana viungo wanao kibao.....-mshahara unaohisiwa ni 70K
-kachagua Man utd over barcelona
Perfect signing, hawa ndio watu tunaowataka.
Mkuu una kichwa kigumu sana
Man united haijamuacha lukaku ametaka kuondoka zaidi ya mara 10 sasa naongea hilo suala na still unalirudia.
Na kwa ole lukaku sio kwamba hakuwa na nafasi bali mfumo wa ole unamuona kama striker wa kulia, hivyo kama lukaku ana nafasi kwanini Haaland asiwe na nafasi?
Na unamuangalia jimenez mkuu? Ni exactly type ya martial, sio striker wa kukaa mbele na kufunga, he is more of false 9.
Issue ya pogba ni tofauti na kama anataka kuondoka aki submit official request sidhani kama club itamzuia mambo mengi ya huyu jamaa ni umbea umbea unaokuzwa na media na tetesi zisizo na mbele wala nyuma. Hadi ameumia hachezi na still media zinamlaumu mechi tunazofungwa, ukitoa mara moja kabla msimu haujaanza wakati wa usajili unaweza toa ushahidi wowote kwamba pogba ameongea either kwenye media ama popote pale jambo baya kuhusu sisi ama yeye kutaka kuondoka? Mashabiki wengi wa man U sasa hivi tumekuwa puppets wa media kutangaza tu propaganda zao.

Sasa mkuu unataka tukujibu kwanini Lukaku ameridhika kutokea pembeni akiwa national timu, wakati hatokei pembeniMkuu nimeuliza hili swali huko juu hamjanijibu world cup na mechi kibao timu ya taifa anachezeshwa pembeni lukaku na Martinez je amehama belgium? Aliona hatakiwi belgium? Alitoka kwenye vyombo vya habari na kulaumu? Alivujisha habari za siri za training?
Kama timu ya taifa isiomlipa mshahara wala kuspend zaidi ya 70m kumsajili inamchezesha pembeni na halalamiki why timu yake kabisa ikimchezesha pembeni iwe ni kosa?
Na kama anatoa sababu hana makosa sababu belgium anafanya vizuri (ambako anachezeshwa pembeni) huoni kwamba na huku ange flourish kucheza kama timu ya taifa?
Sasa mkuu unataka tukujibu kwanini Lukaku ameridhika kutokea pembeni akiwa national timu, wakati hatokei pembeni
Naomba kuuliza, hivi mchezaji anaruhusiwa kuhama timu ya TaifaView attachment 1341905View attachment 1341906View attachment 1341908View attachment 1341909
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeeh sasa hiyo picha ya kikao cha chama tawala imefata nini hapo...au lukaku nae yupo hapo?Sasa mkuu unataka tukujibu kwanini Lukaku ameridhika kutokea pembeni akiwa national timu, wakati hatokei pembeni
Naomba kuuliza, hivi mchezaji anaruhusiwa kuhama timu ya TaifaView attachment 1341905View attachment 1341906View attachment 1341908View attachment 1341909
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeeh sasa hiyo picha ya kikao cha chama tawala imefata nini hapo...au lukaku nae yupo hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa ni 3 way talks, fernandez anaenda barcelona, immediately anakuwa loaned valencia na rodrigo anakwenda barcelona, rodrigo ni mshambuliaji.Hiyo ilikuwa ni michezo ya wakala tu....barca hawajamtaka huyu mtu,barca wanahangaika na striker kuziba pengo la Suarez na sio viungo maana viungo wanao kibao.....
Arthur
Artulo
De jong
Rakitic
Coutinho
Busquet n.k
Huyu BF akacheze wapi????
Hata ningekuwa mimi kama ni kweli ningechagua United,kwani sioni kilichomkuta Philipe!!!?
Barca wangekuwa wanataka kiungo kwanza wasingemuacha Erricksen ambaye alikuwa anapatikana cheap ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona hizo picha umegoogle google tu? Hujaangalia world cup wewe? Lukaku amechezeshwa wapi? Siongelei habari za kusadikika naongea kitu ambacho nimekiona kwa macho yangu, mtu mwengine alieangalia world cup atakuja kutusaidia.Sasa mkuu unataka tukujibu kwanini Lukaku ameridhika kutokea pembeni akiwa national timu, wakati hatokei pembeni
Naomba kuuliza, hivi mchezaji anaruhusiwa kuhama timu ya TaifaView attachment 1341905View attachment 1341906View attachment 1341908View attachment 1341909
Sent using Jamii Forums mobile app
Inter milan lukaku amekuwa racially abused na mashabiki wa timu pinzani wanampigia kelele za nyani,Mkuu naona kichwa chako ndio kigumu mno kuelewa mambo yaliyo dhahiri shairi
Hivi Martial anafanana vipi na Jimenez kiuchezaji, Jimenez wa Wolves ninayemuongelea ndiye unayemuongelea wewe? Sina uhakika kuhusu hilo.
Kuhusu Pogba kutaka kuondoka unasema ni umbea, are you serious mkuu? Direct quotes from Pogba's mouth amesema anataka new challenge (baada ya kuulizwa mustakabali wake United) wewe leo unatuambia humu ni umbea. Raiola mara ngapi amesema kuwa Pogba anataka kuondoka na anamfanyia mpango wa kwenda timu nyingine, huo nao ni umbea? Wewe unatumia source gani mkuu kupata Habari ambazo sio umbea? Labda meongea na Pogba face to face au OGS akakwambia kuwa hana mpango wa kuondoka
Unasema Pogba hajawahi ku submit request (nadhani unamaanisha ya maandishi) ya kuondoka, kwani Lukaku amawahi ku submit transfer request?
Nimekuwekea attachment ya mazingira yaliyosababisha Lukaku kutaka kuondoka, he felt not wanted at Man Utd, he felt not cared....... Baada kuona hapewi umuhimu ndio akaamua kuondoka.
Vipi kuhusu Pogba, amepewa care yote aliyotaka lakini amekuwa aking'ang'ania kutaka kuondoka. Nadhani duniani nzima ni wewe tu unayeamini kwamba Pogba hataki kuondoka United isipokuwa ni umbea wa magazeti, ni wewe tu duniani unayeamini hivyo
Halafu mtu anakuja kutudanganya eti hamna mchezaji mkubwa kuliko United, hivyo Lukaku had to go kwa kuwa alitaka kuondoka. Kwa msingi huo huo Pogba had to go kwa kuwa hataki kuwepo United, unless yeye ni mkubwa kuliko United (double standard)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaaa aiseeeh au wewe ndio huyo mwenye kapelo ?
Kweli kabisa
Kama ulivyokuwa ujio wa Sanchez,Di maria na Depay....
Yetu macho
Sent using Jamii Forums mobile app
Presha ya media England inafanya wachezaji wacheze kwa tention kubwa sana. Vipaji vipo sawa na kwingine tuuFactor gani inasababisha England kusiwe na wachezaji wazuri au wasiibuke wachezaji wazuri kwa sasa na nchi nyingine iwe tofauti??
Na ni nchi gani hiyo yenye vipaji sasa tuende tukaokote huko??
Akitokea mchezaji anayeonyesha dalili za kuja kuwa mkali baadae inabidi tupambane tumlete karibu regardless anatokea nchi gani..
Mkuu mbona hizo picha umegoogle google tu? Hujaangalia world cup wewe? Lukaku amechezeshwa wapi? Siongelei habari za kusadikika naongea kitu ambacho nimekiona kwa macho yangu, mtu mwengine alieangalia world cup atakuja kutusaidia.
KDB alikuwa deployed kama false 9 na Lukaku akapelekwa pembeni.
Mechi ya brazil nakumbuka ilikuwa hivyo
Source
Belgium out-tactic Brazil as Roberto Martinez channels his Everton days
Deploying Romelu Lukaku on the right in a false-nine 4-3-3 formation confused the Brazilian defence that left them with too little time to adaptwww.independent.co.uk
Inter milan lukaku amekuwa racially abused na mashabiki wa timu pinzani wanampigia kelele za nyani,
Jibu alilopewa kutoka mashabiki wa Inter (Inter ultras) ni kwamba mchezaji mweusi Italy kuitwa nyani si ubaguzi wa rangi, na ameufyata. Ila Man U kasikia tetesi ( according to article yako) sababu man u hawajazijibu hizo tetesi basi timu yetu haimtaki.
Kwaheri mkuu.
Hahahaaaaaa aiseeeh au wewe ndio huyo mwenye kapelo ?
Umevujisha hii mheshimiwa kada.
Sent using Jamii Forums mobile app