Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Very stupid fans
Hahahaha.......humu watu wana matumaini hewa, mara hii wameshasahau ubovu wa kikosi chao na kocha wao asiye na mbinu.Very stupid fans
LOGICTunachofanya ni 1+1+1+1+1+1+1+1+1+1=10
Wakati tungeweza kufanya 5+5=10
bora tumempata bruno kuliko kubaki na lingard na perreiraHahahaha.......humu watu wana matumaini hewa, mara hii wameshasahau ubovu wa kikosi chao na kocha wao asiye na mbinu.
Wachezaji wengi wa united ni below average.
Sent using Jamii Forums mobile app
Very well saidbangi za usiku zinapochanganyika na msongo wa njaa na mawazo finyu
kocha yeyote ajaye klabuni manchester united kama anahitaji kufanikiwa kwa haraka zaidi afanye maamuzi ya kuwaondoa wafuatao haijalishi awe hana uhakika wa kupata warithi wake kwenye soko la usajili, naamini kuondoka kwao hakutaleta athari yeyote kuliko kuendelea kubaki kwao klabuni pia kuondoka kwao kutasaidia kupungua kwa wage bills
akishafanikiwa kuwaondoa wachezaji hao kwa msimu mmoja then afanye maandalizi ya kuwaondoa wachezaji wafuatao kwa dirisha linalofuata (2020/2021) pindi wakipatikana warithi sahihi
- jesse lingard
- andreas perreira
- phil jones
- marcos rojo
- alex sanchez
- diogo dalot
kinyume chake tutaendelea kuwa wasindikizaji haijalishi kama klabu itaamua kuwaajiri kwa pamoja josep guardiola, zidane na mauricio sarri.
- anthony martial
- eric bailly
- luke shaw
- victor lindeloff / smalling
- juan mata
hao niliowawekea wino mwekundu nakaribisha mjadala huru.
Timu yetu imejaza watumishi hewa
Hizi tabia zako za kichoko hizi angalia usije ukakalia nyama(kipande),kazi kujipitisha tu kwenye magheto ya wanaumeVery stupid fans
Hakuna kundi lolote kubwa la mashabiki ambalo lipo against na Ole.Huoni Mashabiki wanavyo kiwasha, so usishangae mechi na wolves kelele zikawa kali zaidi na Fomu ya wachezaji itakuwa juu ngoja uone, ikiwa chini ole hana kazi.
Patamu hapo.
Very stupid fans
Tusi ni lipi hapo
Wewe tukana ila ni ujinga tu mmefanya.Hizi tabia zako za kichoko hizi angalia usije ukakalia nyama(kipande),kazi kujipitisha tu kwenye magheto ya wanaume
Ujinga wenu ndo chanzo cha ujinga wangu
Wanaacha nyoka wanaenda kupiga panyaHahahaha.......humu watu wana matumaini hewa, mara hii wameshasahau ubovu wa kikosi chao na kocha wao asiye na mbinu.
Wachezaji wengi wa united ni below average.
Sent using Jamii Forums mobile app