Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole anaweza asisajili vilevile.

Msimu huu ulipoanza alisema hatasajili kwasababu ameridhika na timu aliyonayo.

Bruno anaweza asije kwasababu Ole ameridhika na timu alionayo.

Tutakutana hapa summer transfer window. Utaanza kulaumu kwanini Ole hasajili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manchester fans celebrating Lingard goal 😂😂
 

Attachments

  • D9C7C896-FC58-47E0-8CE2-513BA4C25031.jpeg
    64.8 KB · Views: 4
Ni simple mathematics kuelewa kuwa Ole alikuwa anaamini kuwa Rashford,Martial,James Greenwood na Lingard watampa matokeo mazuri,kitu ambacho hakijatokea kwa sababu mbalimbali(Uwezo wao,Uwezo wa mwalimu,kukosekana viungo bora n.k)..Hata hao makocha wakubwa kuna muda wanaamini vikosi vyao lakini baada ya msimu kuchanganya wanaona walikosea na kuna haja ya kusajili kutokana na perfomance ya timu..

Ole lazima atasajili tu kama atabaki hadi next transfer window..iwe ni kwa ajili ya kuwanyamazisha mashabiki au kwa mipango yake,lazima afanye hivyo..
 
I can bet that.

Watapandishwa wachezaji kama wanne toka accademy.

Watauzwa non english players, watabakishwa english players.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna makocha wapo wapo wanaotumia vijana kuleta mabadiliko.


Wa Ajax

Diego Simeone

Yule Wa Rb Leipzig
Kocha wa RB Leipzig anaitwa Julian Nagelsmann, jamaa ana miaka 32 tu kudadeki.
Jamaa kaanza kazi ya ukocha akiwa na miaka 20 baada ya kupata majeraha akiwa mchezaji.
Soon huyu baharia akikaza sana na kikosi chake wanaweza wakafuta utawala wa The Bavarian

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…