Naomba niwakumbushe wanaodhan man u Leo anashinda kirahis ,na wamebeti , huo uwanja anaoutembelea man u Leo ni sawa na manungu turiani wa mtibwa , Watford kalambwa hapo hapo wanabak wanalalamika ,uwanja ni mbovu , wenyeji wanaujulia , hivo natoa angalizo mapema,View attachment 1335554
Lazima washangilie sana kwa level yao kucheza na MUFC ni jambo la kihistoria.Hawa TRA nimewapenda mashabiki wao hasa yule manzi anayeshangilia kashika kikombe.... Safi sana.
Hongereni , mm nilitoa angalizo kwa wanaobeti , kumbe mechi imekuwa nyepesiAsante kwa angalizo
Naomba niwakumbushe kuwa tunaongoza 5 - 0 kwenye Uwanja mbovu kuliko hata Manungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kawaida ya mashabiki wa ulaya hasa zile timu ndogo...cheki hata premier league.Lazima washangilie sana kwa level yao kucheza na MUFC ni jambo la kihistoria.
Kweli aisee naonaga man u na arsenal washabiki wao wanavyoshangiliaNi kawaida ya mashabiki wa ulaya hasa zile timu ndogo...cheki hata premier league.
Hongereni , mm nilitoa angalizo kwa wanaobeti , kumbe mechi imekuwa nyepesi
Mkuu PSG mbele wana Neymar, Mbappe, IcardiAah wapi
Tatizo simuamini sana tuchel...ila kikosi kipo poaMkuu PSG mbele wana Neymar, Mbappe, Icardi
Midfield yao wana Ander Herrera, mzee wa tackles Msenegali Idrissa Gueye, fundi wa pasi Leandro Daniel Paredes, Fundi wa kitaliano Marco Veratti, fundi wa Kihispaniola Pablo Sarabia
Beki wana fullbacks za Ukweli Bernat na Kurzawa, center half fundi wa kibrazil Thiago Silva
Sasa hapo wamuongeze na Koullibally kwenye kikosi ! kwa nini wabahili kama Bayern, LFC, Arsenal, England United wasiisome namba?
Sent using Jamii Forums mobile app