Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mambo yanajirudia tuu.

Hii timu hata wakifukuza makocha kumi, bado hakuna kitakachobadilika uwanjani, unless ,
1. Glazers na ed woodworm waamue kuinvest kwenye mpira wa kisasa kwa kutumia fedha na akili.
2 . au timu ipate mmiliki mpya mwenye nia sawa mashabiki.

3. Labda tupate SAF au MB mwingine.





Sent using simu mbovu
 
Jinsi ya kuuliza matokeo sasa hivi ni kama ifuatavyo
1 Liverpool kashinda ngapi ?
2. Man city katokaje ?
3. Man u kapigwa ngapi ?
4. Chelsea vipi huko ?
5. Arsenal kapona leo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye namba moja, umenikumbusha enzi zile tunaulizana mchezaji yupi kati ya Ronaldo, Rooney na Tevez ametupia goli.
 
De
Delete comment yako


Ndio maana huna akili jitu zima unatukana matusi hivyo wakati zee zima na ndevu za mvi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fred
Mc Tominay
Victor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OGS won't be sacked soon, mark my words.We will have him for the next 2 or 3 seasons yet no better performance will be shown.

Tutalalamika na tutaizoea hali hii. We ain't a decent club anymore.
Utaambiwa anarudisha filosofia ya United.

Atakuwa clueless kama Pochetino alivyokuwa Tottenham.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishuka zaidi kwenye msimamo nadhani akili zako zitakurudi
 
Acha kususa Mkuu, it doesn't suit you

Kama United wamekuvuruga take a leave, take a rest

Wakati wewe umepumzika, tuache wengine tuendelee na timu yetu

Na mimi naweza kukuuliza mbona wewe una hype ya kuja kwenye Uzi huu (kujua kinachoendelea United) wakati kwa sasa you hate everything about United?

Hizi updates wapo wanaozihitaji mkuu

Relux, kunywa maji, take a long inside breath...... Then take a long outside breath
Hivi mbona unakuwa na hype ya Bruno kuja ilihali hakuna kocha?
Unadhani Bruno ni standard yetu? Aende timu zinazojielewa kama Halland.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
its so crazy guys, team kubwa kama man utd,.. tunategemea wachezaji kama jones, lingard, perreira, shawna bado wanaongezewa mishahara na manager ana wasifia kuwa wana improve , tunashindwa kufanya signings za maaana, kikosi kiko tight yani akiumia mchezaji anaotegemea basi form inateteleka.

#woodwardout
#glazersout

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima tukubali kuwa;

✓Uongozi na makocha wametufikisha hapa kwa kuwa hakukuwepo na plan za kueleweka..Tumeishia kusajili sajili hovyo tu

✓Uwezo wa Ole ni mdogo na ukiongeza na wachezaji waliopo United kwa sasa basi ndo balaa tupu..Kikosi tulichonacho ni matokeo ya kazi ya bodi na kocha..

-Lukaku kaondoka,no replacement
-No proper Right winger for Years now
-Smalling kaenda on loan huku Jones akiendelea kutamba


✓Tunachotakiwa kuelewa ni kuwa hamna kocha anayejielewa ambaye atakiamini hiki kikosi tilichonacho kwa sasa..Lazima tu atataka wachezaji..Let's keep Ole's problems aside

✓Kutokumsajili Bruno Fernandez pia sio suluhisho la matatizo yetu..ni bora aje tupambane tuingie hata Top four,Summer transfer tuweze kuattract hata wachezaji wazuri kiasi..Otherwise watu waanze tu kampeni za Ole out mapema kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…