5days left to close january window
Hakuna dalili ya bruno, it means kina woodward pengine wameona Ole si mtu sahihi kuleta hitaji lake wakat wanamfukuza muda wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Daemusin,naunga mkono hoja yako kulingana na target za Ole tangu amekuja OT.pia inawezekana bruno fernandez si chaguo la ole gunnar solskjaer.
mawazo yetu tunapaswa tuyaelekeze pande zote mbili za shilingi (impossibility and certainty)
hivi ole alishawahi kuongea jambo kwa lugha ya mafumbo ya kwamba anamuhitaji kiungo aina ya bruno, haiwezekani madirisha mawili tunavumishiwa kumhitaji mchezaji mmoja na tunashindwa kumsajili.
jose alipohitaji kiungo mkabaji aliongea hadharani (akaletewa nemanja matic)
jose alipohitaji mshambuliaji wa kuziba nafasi ya rooney aliongea (akaletewa lukaku baada ya kufeli dili la morata)
jose alipohitaji kiungo wa pembeni aliongea japokuwa hakuletewa aliyemuhitaji (ivan perisic)
jose alipohitaji mlinzi mwengine wa kati na wachezaji wengine wawili hakuletewa na mgogoro ndipo ulipoanzia (eneo la ulinzi chaguo lake ilikuwa ni toby alderweireld au harry maguire)
View attachment 1334064
Ajui mwenzake katika hyo miaka minne ya rebuild, alifanikiwa kucheza fainali mbili..
Kwasbb ulitufunga lini kwako au kwetu?Umesema Kila timu inaiogopa Liverpool ..kwenye uo mjumuisho tuondoe apo..
Sisi ni Chelsea
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
SIO WOTE. Ni wewe tu na hao wenzio mliokuwa mnalaumu.Akili zetu wapenzi Manchester United zipo sawa tu na kocha na uongozi wetu wakati wa usajili wa Haaland wote tulimlaumu sana Mino na wengine tulidiriki kusema ana uwezo wa kuchezea Manchester United ati tuna Martial Greenwood sasa tunaumbuka
Ni kichaa huyu kochaYaani Solskjaer anajilinganisha na JK.So far mimi sijaona mafanikio yake hata big picture ya creativity hatuoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia Islam Sliman aliyeshindwa kutoboa Leicester na kupelekwa kwa mkopo franceUkiacha huu upuuzi WA ole kuwa kocha wa Man u mpaka sasa upande wa pili tunahusishwa na ighalo na tevez eti deal za mkopo....huu wote ni ujinga wa ole kumuachia lukaku sahizi anategemea huruma za mashabiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine umeona mbali kidogo japo wakati mwingine hata kama wana malengo hayo wanapaswa kumsajili tu kwa kuangalia potential yake.5days left to close january window
Hakuna dalili ya bruno, it means kina woodward pengine wameona Ole si mtu sahihi kuleta hitaji lake wakat wanamfukuza muda wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabaki wameplan kufanya protest siku ya mechi na wolves hiyo tarehe moja february. Wameamua kuwa ikifika dakika ya 58 Wataamka na kutoka uwanjani. Fans are tired of woodward and the Glazers
Sent using Jamii Forums mobile app
Bruno hata asije United. Ataharibika kama kina DiMariaWengine wanaamini Raiola amempoteza dogo kumshauri aende Dortmund badala ya kuja United ambayo imefikia stage hata kupiga pasi 6 tunahangaika.
Dortmund was perfect team for Haaland at the moment
Sent using Jamii Forums mobile app
Manchester hata aje Messi au Ronaldo lazima watakuwa flopMkuu Daemusin,naunga mkono hoja yako kulingana na target za Ole tangu amekuja OT.
Kwanza kabisa sajili zake 3 za mwanzo alisajili damu za malkia ingawa kwa kipindi hicho kulikuwa na option bora zaidi ya hizo. Maguire dhidi ya Koulibaly,James dhidi ya Ziyech. Kulikuwa na ushaidi mkubwa kuwa chaguzi mbili zilizoachwa ndio zilikuwa/ni bora kuliko tulioletewa. Utetezi wa Ole ukawa ni kutafuta DNA ya united.
Pili hata targets tunazohusishwa nazo hadi leo hii zimekuwa na asili ya uingereza kama vile Sancho, Madison, Grealish. Eriksen amekuwa sokoni kwa bei ndogo kabisa na ni mara mia ya lingard,ila kama ole hajamuona walau kumtumia kwa miezi iliyobaki tu.
Nina imani Ole anatafuta kupendwa na waingereza kwa kulundika waingereza wengi kwenye timu bila kuzingatia ubora.
Kwenye media amekuwa optimistic kuwa wana improve wakati kila mtu anaona mapungufu ya waziwazi kwa kila mchezo tunaocheza.
Seriously????Mashabaki wameplan kufanya protest siku ya mechi na wolves hiyo tarehe moja february. Wameamua kuwa ikifika dakika ya 58 Wataamka na kutoka uwanjani. Fans are tired of woodward and the Glazers
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasoma huku juu kuna wadau mliona mbali.ujio wa Ole kama kocha naona sasa Wale Wachezaji WA under 21 watapata nafasi mfano yule Tahit Chong na Gomez
Wewe piha hutapata namba na lafiki yako sipiliani mutoto wa muenyekiti na dullah na sosipit mtakuja kucheza manichesita siku mojaNasoma huku juu kuna wadau mliona mbali.
DohOle ole ole mwanzo mzur sitaman kabisa kumuona lukaku man u pia nataman sana valensia arudi nafasi yake bail au rojo huyo lindlof aanzie bench