Timu inatuachia wkt mgumu sana kumng'oa glazer familyHii timu yangu sio ya kuijadili tena .imeshakua sugu na dawa yake ni kuiacha tu au kutoangalia mpira wake
Hahaaaa umenikumbusha kauli za emery, hadi mech ya mwisho anatimuliwa alikariri neno " We are improve"Timu imekua ya kishenzi sana hii,
Kocha anaulizwa anasema eti wanaendelea ku improve ,,blodfool kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Gleazer ni wamiliki wa timu wanaweza kuiza man u kwa tajiri mwingine, mo dewji ni mwekezaji kwenye timu sio mmiliki wa simba, uwezo alionao Mo ni kuuza hisa zake na kujiondoa kama mwekezaji
Sent using Cash Money Wings
Leo una mkataa martial...?√Martial,James,Perreira=Trash,,Hawastahili kuwa kwenye 1st eleven ya United
√Ole gunnar naye anatembelea upepo wa vijana wadogo ili kuonewa huruma..Sasa yeye anadhani Lingard atabadilika gafla aanze kutoa assist na kufunga kama KDB??
√Wazungu nao muda mwingine ni wajinga..timu ishalala mbili bila nyie mnakaa uwanjani kufanya nini??
√Ed Woordward+Ole gunnar=Cardiac arrest pill
√Ole hana mipango kabisa anafanya tu Sub akitegemea maajabu yatokee..Eti Lingard,
CEO wa simba ni Senzo Mazingisa.
Mo ni mwenyekiti wa bodi.
Sent using Cash Money Wings
we in KE??Hapana huu sio uzi wa Burney mkuu. Magoli naweka kwenye uzi wa timu husika