DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Sasa aingie yeye acheze?Kocha dakika 45 amekaa tu utazania mgonjwa wa kiuno au mlemavu wa mgongo
Tupe matokeo mkuuJAMES, MARTIAL WAMEFAIL SANA. WASIRUHUSIWE TENA KWENYE HII 1ST ELEVEN.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kalale hii timu itakuuwa.So sad
Ole anawaambia kila sik washabik wa man kua anaiona man u ipo kwny right track kbsBora nilale tuu mamaee kwa sub hizi.
Yani shaw anakuja kufanya nn?? Lingard duh
Sent using Jamii Forums mobile app
.. Washabik wengne wakishnda game 2 au 3 wanasahau kua hii team ni very average.. Mtakubal mtakataa lkn kipind chenu cha kupitia mateso ndo kama kinaanza..Liver chake amemaliza.. Arsenal yy bd yupo humoHahaSo sad
Ndo tegemeo lenu... Mtake msitakeHapa Rashford ndio anajizolea sifa. Tangu aumie hakuna hata goli la kufutia machozi lililofungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app