mkuu haya mambo inatakiwa kuvumilia tu ndio kizazi kilichopo....... kuna watu nina uhakika hawajawahi kuzitazama game za utd vs liver wakat wa alex.......Hiyo siyo aina yangu ya ushabiki bro.
Hiyo tafsiri umeisema wewe.
wewe jamaa mjinga kweli aisee, hapa tulikua tunaongelea mambo ya liver na utd, labda kama umesahau mjadala ulipoanzia kule juu
hakuna mtu ameongelea carrier zao kabla ya liver au utd, tunaongelea mambo ya epl hapa na sio scotland au ujerumani.....
next time jifunze kufocus kwenye mjadala usianze kuleta vitu vya kutoka nje...... huo u sir hakupewa kwa kufundisha scotland na wala legacy yake kubwa aliyonayo leo hajaipata scotland....... JIFUNZE FOCUS KWENYE MADA!
i'm off,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuziba pengo la Rashy au sio?20/01/2020
tetesi za leo zinasemaje wadau?
mara paap alex sanchez amerudishwa klabuni kutoka inter milan
Kati ya kauli tata alizokuwa akizisema Mino Raiola kuhusu man utd na hiyo ni moja wapo ila sisi kwa kutokupenda kuambiwa ukweli tukamchukia,lakini aliongea ukweli tupu.Man U kiukweli sasaivi haina identity yaani wanacheza cheza tu wakiwaotea wanyonge wanawapiga wakikutana na watu walio serious na wenye structure matokeo yake ndo kama yale ya jana
Jana John Barnes baada ya mechi kuisha alitoa bonge la point akasema kuwa tofauti ya Liva na Man u kwasasa ni kuwa Liverpool inanunua wachezaji ambao wanaendana na kufit kwenye system yao ndomana unaona mtu kama Gini Wijnaldum anatoka Newcastle lakini anaenda pale anashine ILA sasa upande wa pili Man U ni vice versa wao wananunua mchezaji desperately halafu wanajaribu kuitengeza timu kuizunguka huyo mchezaji kitu ambacho hutokaa ufanikiwe kamwe
dah hiyo fedha mbona ni nyingi mno au kwa sababu ni muingereza?Jude Bellingham, United target
Kijana wa miaka 16, kutoka academy ya Birmingham City na kwa sasa ni tegemeo kwenye midfield ya timu ya Birmingham City inayocheza Championship
Bellingham amekuwa akifuatiliwa sio tu na United bali na Arsenal, Liverpool, Barca na timu nyingine Ulaya
Sifa kubwa za Bellingham ni ukabaji, ku dribble mpira, kutoa pasi za mwisho na kufunga magoli, kwa ufupi huyu dogo ni box to box midfielder
Inakisiwa thamani ya kijana huyo wa kiingereza ni £25m na United wapo tayari kumnunua na kumrudisha kwa mkopo pale Birmingham City mpaka msimu utakapokwisha
Jude Bellingham, kumbuka hili jina. One for the future.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimeona taarifa man utd hawana mpango wa kumrudisha alex sanchez...Kuziba pengo la Rashy au sio?
Sisi tutaendelea kushinda Kila gemu inayokatiza mbele yetu..
Yanatafuta pa kujitetea.Yaan magoal yote hayo wamekosa ya wazi ...huoni bahati ya kutofungwa mengi ilikuwa kwenu
Sanchez anaweza akaja kuwa mchezaji tegemezi mkuu.20/01/2020
tetesi za leo zinasemaje wadau?
mara paap alex sanchez amerudishwa klabuni kutoka inter milan
Kweli apo no kosa kubwa sana Sir Fargie mimi munyewe namweshimu sana...japo marefa walimpa sapoti ya kutoshaWe mwenyewe hapo umeandika SAF unajua hiyo S ya kwanza ina maana gani?
SAF amechukua UCL mara 2, Klop amechukua mara ngapi?
Huyo SAF wangu alikaa almost miaka 6 bila kuchukua kombe, unajua alichukua timu ikiwa ya ngapi kwenye msimamo? Ilikuwa ya 19, na tangu hapo timu haijawahi kuyumba mpaka anaondoka.
Huyo Klop wako unajua alishaishusha Mainze daraja na hakuweza kupandisha akatimuliwa? Unajua alipokuwa anapeleka Dortmund kabla ya kutimuliwa? Unajua circle yake ya kiufundishaji? Anachukua timu > Anayumbisha timu > Anaweka Stability kwenye timu (kwa kushinda vikombe viwili vitatu) kwa miaka isiyozidi 2 > Anaanza kuishusha > Anafukuzwa
Unamfananisha Klop ambaye hana hata makombe 10 na SAF mwenye makombe 38, kati ya hayo 13 ni premier, 2 ni UCL?
Embu acha kumfananisha babu wa watu na vitu vya kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app
brother, unasumbuliwa na tatizo moja tu:
Dah wamerudiana lini kwani? Na mulishinda au mulipigwa? Unajua some time tunapitiwa bwanabrother, unasumbuliwa na tatizo moja tu:
unapoandika comment zako ni ngumu wasomaji kufahamu upo kwenye hali gani (either upo kwenye utani au upo kwelini).
kwa mfano:
hapo juu umesema chelsea itashinda mechi zote lakini united hawana uhakika wa kuifunga newcastle.
unachosahau ni kwamba man utd wamesharejeana na newcastle united.
hakuna kipengele cha kumrudisha kwenye mkataba wake
some hiyohakuna kipengele cha kumrudisha kwenye mkataba wake
Sent from my SM-G950U using Tapatalk