Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaha nijinyonge kisa hichi kikundi cha wanywa gongo

Haha piga mbuzi hao Man u


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole OUT
Allergi IN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dogo pale academy anaitwa GARNER unamjua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie shangilieni kwa raha zenu, na sisi tunaongea kwa raha zetu Mkuu

Ila ukweli unabaki pale pale and you know that the team you beat is one of the weakest United team you ever play against

Sent using Jamii Forums mobile app

Timu ya leo toka muda nilijua itakuwa dhaifu sana kufuatana na majeruhi sehemu muhimu sana sema na sisi tumeruhusu magoli ya kipumbavu sana tofout na vile mashabik wa liverpool walivyokuwa wakitamba hapa kama wataupiga mwingi mwisho wa siku bahat tu

Sema mech ambayo ilinipa kizuzungu ile ya manchester city tunakula chuma 3 kipindi cha kwanza jamaa walitunyanyasa sana liverpool kama tungekuwa na key player walah wangelimia meno vile tu ka timu kapo na shaw wanalialia tu had salah alipopata goli bahat wakapumua

Kwa nilichokiona leo wachezaj tunao shida ni mbinu za kocha tu abadilike huwez muacha mtu kama mata bench ukampanga pereira wakat mata mech mbili za mwisho kacheza vizur sana kumkosa scott na rashford pengo kubwa sana
 
Angeukosa mpira angepata red card lakini alikuwa ana 50/50 chance kugusa mpira au kukosa kama angepiga tackle

Sent using Jamii Forums mobile app

Kufungwa ni kufungwa tu mkuu basi wangeshinda moja sioni ambacho kingebadilika zaidi ya kupoteza mchezaj

Rashford mgonjwa
Scott mgonjwa
Pogba mgonjwa
Na ka james kangekula umeme mech 3 hasara ingekuwa kwetu maana uwezo wa kurudisha goli haukuwepo ukiangalia kwa zile nafas alizokosa martial na andreas bora james alivyomuacha
 
hiki ni kikundi cha wahuni na wavuta bangi walioamua kujiingiza kwenye mpira.

Ambacho kimeibaka sana timu yako hadi unapata ufahamu kama ulikuwa unabakwa na kikundi cha wahuni ktk timu zote pale had championship hiki ndo kikundi kilichobaka sana timu zote yaani kinaongoza kwa kufumua timu zote pale england ukibisha njoo na takwimu uone kikundi cha wahuni kilivyo
 
Liverpool ni wa kawaida sana. Kinachosababisha waongoze ligi ni kwamba timu zingine zote ni mbovu zaidi ndiyo maana zote zimefungwa na timu ambayo ni ya kawaida.

Sio mbovu zote bana manchester city ni timu nzur sana sema mpira unakwenda na bahat kuna muda bana kwa sasa liverpool bahat ipo kwenu lakin manchester city anaupiga sna kwa england
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…