hodi humu... mfarisayo na Belo na mtotowamjini na wengineo...je mtawaoa hao kama tulivowaoa asenali?!
ingawa leo natamani totts washinde bado nawatakia kila la kheri.
For sure mkuu nimekua adimu sana, kind hooked na majukumu ya kidunia hayahaya! Ila nimerud, tutaanza kuonana quite often kuanzia sasa.Manda, umefichwa wapi siku hizi,umeadimika sana kijiweni
Leo Lazima Tuwashikishe adabu Tottenham kwa kuwapa kipigo kizito