ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Huu ndo uungwana wa michezo, Kuna wengine kila siku kulalamika tu. All the best nitafurahi sana mkiwapiga za kutosha wakalale na maumivu manake wanachonga sana
yap ngoja nicheki..
Huu ndo uungwana wa michezo, Kuna wengine kila siku kulalamika tu. All the best nitafurahi sana mkiwapiga za kutosha wakalale na maumivu manake wanachonga sana
Ndo kiasi anashostahili kulipwa kutokana na kiwango chake, si sawa na ninyi Walcot analipwa less than stupid Podolsk
Hongereni aisee...ila leo mmepakije basi...lol!
Wamepaki basi au wamebebwa na mbeleko? Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wacha hiyo mbeleko itakatika tu .. ...wachukuru kajeshi ka kukodi.
Ushahidi huu hapa chini chacha ngoja vilio vyao utajijuu ... ... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, vishabiki vya mashoga vitataka nifungiwe kwa kusema huu ukweli ... .. phew!
![]()
Offside Nemanja Vidic ahead of Evra when the ball
was knocked onto him
Hongereni aisee...ila leo mmepakije basi...lol!
Liverpool ndio mpinzani pekee wa ManU, ................Hakuna timu nyingine, ukiangalia tofauti ya point sasa hivi ..............vijitimu kama Mtibwa(ManC) et al vitajisikia viko karibu na hii MIGWIJI ya soka UKLiverpool siyo wapinzani wetu tena, kunatofauti ya point 24 sasa huyo ni mpinzani tena? ni kama timu zingine tu.