Fulham wamezima Taa za Uwanjani Giza kabisa yaani mwangaza wa simu,Big Screen na matangazo ndio yanayotoa mwangaza Uwanjani marefa na ma capten wameamua kutoka uwanjani hii itakuwa inamaanisha halftime na kama taa zikigoma ndio tutakuwa tumekosa nafasi ya kuongoza ligi kwa point kumi dah!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.