Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Probably Williams atacheza winga, lengo ikiwa kuisaidia kumdhibiti Mane/Salah na tunapopata mpira tupige counter attack

Sent using Jamii Forums mobile app
Au kati ya AWB na shaw mmoja atacheza kama beki wa kati na Williams awe wing back. Nitafurahi kama James akiwa kushoto, huwa anafunga sana akiwa upande huo
 

Exactly, sema hizi games by default mimi huwa nazipa draw, bila kuangalia ubora wa timu.

Sema tu ni vile Man Utd iko handicapped kwa kuwa na injuries kwa key players.

Rashford na Pogba ni muhimu sana kwa Derby hii.
 
Exactly, sema hizi games by default mimi huwa nazipa draw, bila kuangalia ubora wa timu.

Sema tu ni vile Man Utd iko handicapped kwa kuwa na injuries kwa key players.

Rashford na Pogba ni muhimu sana kwa Derby hii.
Na Scot Mctomey aisee

Leo fans wa liverpool mpo over confidence, nina best angu die hard liver fan jana kaniahidi endapo utd tukashinda basi atanizawadia elfu50

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunasumbuka kumnunua yule mtoto wa Ureno kama kiungo, na wala hatuangalii wafungaji. Inaweza ikapita tena January hii na Ole asinujue mtu wa kariba ya Lukaku, mtu mwenye uchu wa goli. Tukaishia kukimbizana na viungo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kwanza mechi iishe, mambo ya usajili yatafwata baada ya mechi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Timu ni mbovu sana eneo la kiungo upande wa ushambuliaji hamna shida mech ya leo ni kiungo gan atawalisha wakina martial mipira? Timu inaweza kushinda mech bila hata ya washambuliaji kama vile manchester city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…