Rashford na Martial bado hatujaona potential yao ikikamilika, tupate sasa hivi mtu wa kutokea kulia, Aje Sancho ama mwengine wa Design hio,

Then kwenye midfield aje creative kama Bruno + hawa tulionao wakiwa fit tunaweza kuanza kucheza 4-3-3. Hivo vitimu vidogo huwa tunavipiga sana na 4-3-3.

Kweli hawa madogo wanakosa viungo wabunifu tu wanacheza na lingard nyuma yao bado wanafunga je wangecheza chelsea kwenye ile timu ya Ollachuga Oc si wangekuwa na goli 20 saiv
 
Hii timu ikitaka kumsajili mchezaj kila wiki wanaongea neno moja mwisho dirisha linafungwa Ed hafai kuwepo pale angekuwa mtu wa mpira saiv hata wachezaj watatu wangekuwa wametua kwa jinsi timu ilivyo
 
Hii timu ikitaka kumsajili mchezaj kila wiki wanaongea neno moja mwisho dirisha linafungwa Ed hafai kuwepo pale angekuwa mtu wa mpira saiv hata wachezaj watatu wangekuwa wametua kwa jinsi timu ilivyo
Kwamba kila siku neno moja,hahahaa.
Mkuu radika huwezijua,labda wanamuandalia wimbo wa piano atoke kibiashara zaidi kama sanchez siku ya utambulisho.
 
IMG_7424.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huwa nikiangalia goli la ronaldo aliwafunga porto nafurahi sana maana ndio goli bora kwa upande wangu toka kwa christiano ronaldo 40 yard si mchezo
 
Naombea sana Bruno afikie game la Liverpool. Liver Wana kelele Sana. Hasa yuke madevu

Anaweza kuwa ndo mwisho wa maisha ya soka kama kocha akimpanga hiyo mech sio rahisi hata kidogo anapaswa kutulia kwanza fellain aliharibika mech yake ya kwanza ilikuwa na manchester city alipigwa visambusa balaa saikolojia ikawa chini maana mategemeo huwa makubwa halafu hakufanya kitu ukaanza kutia shaka usajili wake wakat everton alikuwa mnyama

Mtu ambae huwa big games anazicheza vizur ni scott kwenye kiungo na rashford mbele hawa huwa hawaniangushi hata kidogo binafsi najivunia sana hawa madogo wakiwepo ktk mech kubwa agiza soda tu

Scott kacheza big games zote hamna aliefurukuta alipoumia tu mambo yamekuwa magumu

Nilipenda sana scott awepo mech ya liverpool ila basi hamna namna
 
Back
Top Bottom