Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tammy Abraham kafikisha 15 goals with 0 penalties.

Uyu Rashid sasa dah....

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Rashford Ana Goli 19, ukijumlisha na Timu ya Taifa ni Goli 25 tayari yupo on course ya goli 40 ama 50 msimu huu.

2. Amebeba mchezaji bora wa mwezi december

3. Rashford Ana Assist nyingi zaidi ametoa 6 so far msimu huu compare na 4 za Tammy.

4. Hapo hatujaenda Aspect nyengine kama Dribling, take on za mabeki, pace, ambazo rash yupo vizuri zaidi.

Kifupi mkuu kajitahidi Tammy ila Rashford Kamfunika sana
 
Ila nae solskajaer alifanya maamuzi magumu sana kumuamini martial na rashford pale zile timu za top 5 hamna anaeweza kufanya ukiangalia na mwenendo wa timu ulivyo chelsea wamelazimishwa kuikubali ile hali bila kufungiwa tusingeona haya mambo ya wakina mount kamuacha herrera kamuamini scott
Rashford na Martial bado hatujaona potential yao ikikamilika, tupate sasa hivi mtu wa kutokea kulia, Aje Sancho ama mwengine wa Design hio,

Then kwenye midfield aje creative kama Bruno + hawa tulionao wakiwa fit tunaweza kuanza kucheza 4-3-3. Hivo vitimu vidogo huwa tunavipiga sana na 4-3-3.
 
Naanza kuogopa kuhusu Daniel James

Je,ni mchezaji ambaye anaonekana kwenye style fulani tu ya kiuchezaji au?? i.e wakati wa counter attack

Au timu mbovu ndo inamfanya awe hivi??(kama wengi tunavyopenda kumtetea mchezaji tunayempenda)

Au ni kocha kushindwa kumfanya mchezaji awe bora siku hadi siku??
 
Mkuu Dan James hana potential ya kuwa key player, siku zote atakuwa ni squad player, mzuri kwenye counter na cross,ila timu zikipaki basi skills zake nyingi zinakuwa blocked pia.

Ndio maana tunahitaji squad kubwa ili kila mchezaji awe anaanza kutokana na aina ya mechi,
 
Kuna siku nililisemea hili humu,kuna mdau akasema for the meantime James ni wa muhimu kuliko Rashford..

Ukiacha Sancho,mchezaji gani mwingine una-propose aje kwenye hiyo nafasi??
 
Mkuu sio James tu anaye struggle dhidi ya timu inayocheza low block

Hata Messi huwa ana struggle anapokumbana na timu za aina hiyo

So far DJ ana goli 3, ana assists 6na assists ya mwisho ni ya juzi juzi dhidi ya Burnley na anachezeshwa kutokea kulia, upande ambao sio favorable kwake

Martial na Rashford wakichezeshwa kutokea kulia tutawakataa baada ya mechi 3 tu
Mkuu Dan James hana potential ya kuwa key player, siku zote atakuwa ni squad player, mzuri kwenye counter na cross,ila timu zikipaki basi skills zake nyingi zinakuwa blocked pia.

Ndio maana tunahitaji squad kubwa ili kila mchezaji awe anaanza kutokana na aina ya mechi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Dan James hana potential ya kuwa key player, siku zote atakuwa ni squad player, mzuri kwenye counter na cross,ila timu zikipaki basi skills zake nyingi zinakuwa blocked pia.

Ndio maana tunahitaji squad kubwa ili kila mchezaji awe anaanza kutokana na aina ya mechi,
Hili la kuitaji squad kubwa tupo pa1, inatakiwa tuwe kama enzi za sir alex, kuwe na many options kulingana na mpinzani wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naanza kuogopa kuhusu Daniel James

Je,ni mchezaji ambaye anaonekana kwenye style fulani tu ya kiuchezaji au?? i.e wakati wa counter attack

Au timu mbovu ndo inamfanya awe hivi??(kama wengi tunavyopenda kumtetea mchezaji tunayempenda)

Au ni kocha kushindwa kumfanya mchezaji awe bora siku hadi siku??
Dogo yuko poah sema pasi zake zinawahi kufika kabla ya wazembe, kingine anachezeshwa upande ambao ni tofauti na ule aliokuwa anatupa magoli.

Cha mwisho siku hizi wanamkamia sana wewe ona Liverpool, Arsenal, Burnley walivyokuwa karibu kumvunja.

Kiujumla ni fighter
 
Mkuu Dan James hana potential ya kuwa key player, siku zote atakuwa ni squad player, mzuri kwenye counter na cross,ila timu zikipaki basi skills zake nyingi zinakuwa blocked pia.

Ndio maana tunahitaji squad kubwa ili kila mchezaji awe anaanza kutokana na aina ya mechi,

Mzee dogo anakamiwa sana baada ya timu kujua kuwa ni hatari akiwa anakimbia alafu mko nyuma so siku hizi ni kusukumwa, ngwala, na kumvuta hadi anaonekana hamna lolote asee!

Kingine Forward wanamuangusha jamaa anawahi golini Martial wanafanya mazoezi kuelekea golini so mipira mingi yake inakatiza golini bila impact.

Tungekuwa na forward kama Vardy mbona leo De Bruyne assists zake zingekuwa mboga.
 
Back
Top Bottom