buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 3,140
- 6,287
Ana 14 now so 6 to go.
Vip ushamuandalia chai mmeo?Hivi nyie mkipigwa ban ya usajili mwaka mmoja tuu si mtashuka daraja? Kila dirisha usajili usajili hao wachezaji mnaosajili wanakwenda wapi? Acheni kumchosha mmiliki wa timu.
Sent using Cash Money Wings
Hahahahahhdah silaha nimeitengeneza mwenyewe inanidhuru mwenyewe.
Sent using Cash Money Wings
Inashangaza mpaka leo zimejaa tetesi tu mpira unatushinda hata kusajili pia kunatushinda sasa sijui tunaweza kufanya nini sisi Manchester United.Bodi yetu ni tatizo kubwa linalotutafuna, kwa ubovu wa timu yetu mpaka sasa ilitakiwa tuwe tushasajiri wachezaji si chini ya wawili
No Herera replacement, Felain replacement, Scot & Pogba wapo kitandani, bado tunashindwa ingia mfukoni?
Next game Anfied agaist liverpool, toka moyoni natamani hii game tupigwe nyingi sana, ikiwezekana tule hata 7 - 0 pengine itawamsha kina Glazer, yaani leo Leicester ina kikosi kizuri kuliko Giant Manchester United, really?
Kwa style hii wachezaji wazuri itakua ngumu kukubali kuja utd
Kina Glazer famili wanaiua hii club yetu pendwa, natamani wawauzie waarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bodi yetu ni tatizo kubwa linalotutafuna, kwa ubovu wa timu yetu mpaka sasa ilitakiwa tuwe tushasajiri wachezaji si chini ya wawili
No Herera replacement, Felain replacement, Scot & Pogba wapo kitandani, bado tunashindwa ingia mfukoni?
Next game Anfied agaist liverpool, toka moyoni natamani hii game tupigwe nyingi sana, ikiwezekana tule hata 7 - 0 pengine itawamsha kina Glazer, yaani leo Leicester ina kikosi kizuri kuliko Giant Manchester United, really?
Kwa style hii wachezaji wazuri itakua ngumu kukubali kuja utd
Kina Glazer famili wanaiua hii club yetu pendwa, natamani wawauzie waarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza mambo yako ya,Kujipitisha sebuleni na kanga moja iliyoloa maji mbele ya wanaume huku wanaangalia mpira.dah silaha nimeitengeneza mwenyewe inanidhuru mwenyewe.
Sent using Cash Money Wings
Hahahahahahahahahhii Manchester United ya Lingard,Show,sijui Perreira au unaisema Manchester United ipi Mkuu.Siamini kama Leicester ina kikosi kizuri kuliko United
Ila ina kocha mzuri zaidi kuliko wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema ivyo kwakuona wenzetu wanapata matokeo kuliko sisi, kama ile game ya away against wolves hatukua hata na short on target all 90mins, tunakimbimbia tu uwanjaniSiamini kama Leicester ina kikosi kizuri kuliko United
Ila ina kocha mzuri zaidi kuliko wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema ivyo kwakuona wenzetu wanapata matokeo kuliko sisi, kama ile game ya away against wolves hatukua hata na short on target all 90mins, tunakimbimbia tu uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahahhii Manchester United ya Lingard,Show,sijui Perreira au unaisema Manchester United ipi Mkuu.
Hi timu ishakuwa yakipumbavu kwanini haimalizi mahesabu mapema.Man Utd wanamtaka Bruno, Bruno anataka kwenda United na Sporting wapo tayari kuuza na inasemekana wanahitaji sana fedha kwa sasa
Man Utd wapo tayari kutoa £50m na add ons,
Sporting wanataka £65m au pungufu ya hiyo na Rojo
Kama usajili utahusisha mchezaji kutoka United na hela, utachelewa zaidi kukamilika maana itabidi mchezaji akubali kwenda, pili akubaliane na Sporting (mambo ya mshahara) , tayari hapo mchakato utarefushwa zaidi
Kwa kuwa Rojo ana mshahara mnono United, Sporting wanataka United watoe ruzuku ya mshahara kwani wao hawataweza kumlipa
Tulitegemea jana dili likamilishwe, ikibidi Bruno afanyiwe vipimo jana hiyo hiyo, lakini jana alifanya mazoezi na Sporting CP ishara ya kuwa dili bado ni bichi
Patince is needed, patience is something we football fans don't have
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahahahahSiamini kama Leicester ina kikosi kizuri kuliko United
Ila ina kocha mzuri zaidi kuliko wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahah
Mc Tominay =Wilfried Ndindi
Evans = Lindelof, Jones
Chilwell =Show, Young
Telemans = Mata,Fred
Vardy = Rashford,Martial,Greenwood
Madison = Mata,Lingard,Perreira
Schmeichel = De Gea kwa Current form aliyonayo hivi sasa haingii kwa Schmeichel
Endelea kujidanganya Eti Manchester United ina kikosi bora kuliko Leicester Kikosi cha United Qualify players hawazidi watatu or wanne.
Ubora wa wachezaji kati ya Man u na Leicester city unatofautishwa na ubora wa makocha.
OGS angekuwa kocha wa Leicester city, city ingekuwa nafasi ya 10 huko.
Na kocha wa leicester angekuwa kocha wa Man u dah sidhani kama man u ingekuwa vizuri kama Leicester sababu mojawapo ni presha ya mashabiki, wachezaji wengi wa man u uwezo wao umeshuka sana wanakula mshahara bure.
Sent using Cash Money Wings
Hahahahahahahahah
Mc Tominay =Wilfried Ndindi
Evans = Lindelof, Jones
Chilwell =Show, Young
Telemans = Mata,Fred
Vardy = Rashford,Martial,Greenwood
Madison = Mata,Lingard,Perreira
Schmeichel = De Gea kwa Current form aliyonayo hivi sasa haingii kwa Schmeichel
Endelea kujidanganya Eti Manchester United ina kikosi bora kuliko Leicester Kikosi cha United Qualify players hawazidi watatu or wanne.
Unapinga hoja za watu kwa kuandika Bla bla tu Leta hoja za kueleweka Mimi nimesema Wilfried Ndindi ni bora mara miles kwa Mc Tominay,Unakuja kuniambia sijui akija Liverpool sijui nini Wewe kwa uelewa wako Position anayocheza Mc Tominay akija kwenye Squad ya Klopp anaweza kuingia F11.Mh! Hapa kwa Mc tominay ni mawazo yako ila hata me liverpool mwenzako nakupinga. I wish siku moja huyu jamaa angetua Anfield tungebeba vikombe mpaka vibakuli
Sent using Jamii Forums mobile app