Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mnaokota wapi hizi taarifa
Uchezaji wake wa kutifua tifua chini kama limnyama la porini limekamatwa na mtego wa jangili
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchezaji wake wa kutifua tifua chini kama limnyama la porini limekamatwa na mtego wa jangili
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ana midadi Sana Ila accuracy ni 0
Kwahiyo walikuwa wanamjulia khali tu???kweli nyumbu ni NYUMBUBreaking News:
Manchester United board have inquired about Kylian Mbappé.
PSG has responded that the player is fine and doing well and thanked them for asking.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Munacheza ndio nini na wewe, unaonekana mjanja lakini unaongea kama mkimbizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mwasiti sorry kumbe ni mwatisiEee man yu mmeshikwa pabaya ,yale majigambo ya kuwa ninyi ni wababe wa big match yanaendelea?
Inapoelekea timu kubwa zote zitatufunga huko mbele sababu washatusoma mchezo wetu kaanza Arsenal kaja Jirani City huko mbele vipigo tu. Inabidi huyu jamaa atafute mbinu ya kushinda mechi bila hizi counter zake.Football is all about tactics.
Jinsi Pep G alivyoweza kuzima counter attacks za OLE. Inaonyesha jinsi gani jamaa ni master tactician.
OLE hii kazi haiwezi, level zake ni under-23, huko ambako hakuna pressure.
Sent using simu mbovu
Kazingua sana, anakalia kubinua matako badala ya kufunga magoli.
NashangaaYaani hii timu imekuwa ya ovyo sana..Nani aliyetoa wazo la kumwongezea mkataba Ashley Young??..Bora tu hata amekataa
Man u ni counter attack , ukidhibit hizo ,umemaliza kaziInapoelekea timu kubwa zote zitatufunga huko mbele sababu washatusoma mchezo wetu kaanza Arsenal kaja Jirani City huko mbele vipigo tu. Inabidi huyu jamaa atafute mbinu ya kushinda mechi bila hizi counter zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
OGS ndio anapendekeza nani aongezewe mkataba ,nani auzwe pamoja na kuchukiwa na mashabiki lakini Young ni mmoja ya wachezaji wanaojituma na kiongozi ndio maana makocha wote wamekuwa wanampa nafasi na Solskjaer alimpa u-nahodha kabisa na ni mara chache sana anakuwa majeruhi,OGS ameanza kujifunza makosa aliyofanya last season ya kutosajili replacement ya kina Fellaini na Herrera yanavyomtesa baada ya kuumia kwa Pogba na McTominay but unaposubiri mpaka mchezaji anakaribia kumaliza mkataba ndio uanze mazungumzo unakuwa umempa power kwenye negotiation ndio maana Woodward amewaongezea mikataba wachezaji ambao hawakustahili kuwepo United (Rojo,Jones,Young,Mata,Perreira) na ukweli kwa sasa timu yetu haina ushawishi kwa wachezaji kama miaka ya nyuma ndio maana hata Young anatuumiza kichwaYaani hii timu imekuwa ya ovyo sana..Nani aliyetoa wazo la kumwongezea mkataba Ashley Young??..Bora tu hata amekataa